Hawa trafiki wawili akina mama ni kero barabara ya zamani Kimara Stop Over kwa Mbuyeko

Hawa askari wa Usalama barabarani wamekuwa kero sana, kuna jambo halijakaa sawa.
Jumamosi kutoka Kigamboni hadi Kifuru nimepigwa mkono mara 4.
1. Kibada kuja roundabout ya kuelekea daraja la Nyerere mkono 1.
2. Veterinary kuja Nyerere Road kupitia mchepuko wa Mchicha mkono 2.
3. Vingunguti to Barakuda pale machinjioni mkono wa 3.
4. Segerea pale karibu na stendi mkono wa 4. Ayseee sitaki kusema mengi lakini viongozi wetu kwenye hii sekta angalieni sana hizi kero. Sote tunajua Sikukuu zimekarbia na maaandalizi ya Ada za watoto Januari, pesa haitafutwi kwa ulazima na uonevu badilikeni mnakera. Kila mmoja ana kazi rasmi sasa mkiamua kutumia ajira zenu kujineemesha mnaifedhesha Serikali yenu, badilikeni maafande.
 
Kidumu chama cha mapinduzi .. !
 
Sasa unaendesha passo unategemea wasikupige mkono? Mbona wenye prado hawasimamishwi?
 
Mtani uko sahihi, mkono unategemea aina ya gari, angalia aina ya ruti niliyokuwa nafanya utaona imekaa kibabe zaidi kwahiyo gari ilikuwa na mzigo haswaaa ingawa haikuwa imezidi uzito, urefu ama upana lkn usumbufu wake sio w kistaarabu hata kidogo.
 
Mimi naona askari wa usalama barabarani kote nchini ni wasumbufu na wapenda rushwa wakubwa. Natamani kuona siku moja wanaondolewa wote barabarani, na hivyo kuweka mifumo ya camera kote nchini.

Dereva akikiuka sheria za barabarani, mfumo uoneshe na alipe faini kulingana na hilo kosa lake. Ila siyo kuwanufaisha miaka nenda hawa watu. Ifikie wakati waishi kwa kutegemea mishahara na posho wanazolipwa, kama ilivyo kwa wafanyakazi wengine wa serikali.
 
Kuna siku niliwakuta,wakanisimamisha wakanipiga faini 30,000 halafu wakaniambia simama pale kwanza,nimekaa kama robo sana wakarudi eti "tunaomba lifti utuache hapo mbele"
Ushapigwa faini afu unaambiwa simama pale kwanza??? Hukuhoji kwa Nini? 15 minutes umekaa tu.... Wabongo waoga sana aisee
 
Mimi naona askari wa usalama barabarani kote nchini ni wasumbufu na wapenda rushwa wakubwa. Natamani kuona siku moja wanaondolewa wote barabarani, na hivyo kuweka mifumo ya camera kote nchini.

Dereva akikiuka sheria za barabarani, mfumo uoneshe na alipe faini kulingana na hilo kosa lake. Ila siyo kuwanufaisha miaka nenda hawa watu. Ifikie wakati waishi kwa kutegemea mishahara na posho wanazolipwa, kama ilivyo kwa wafanyakazi wengine wa serikali.

Serikali makini haiwezi kuwaacha hawa mbuzi koko barabarani
 
Kuna wengine barabara ya kutoka Singida (mwenge) kwenda njiapanda wanapaki katikati pale. Kazi yao kubwa ni kusubiri pesa kutoka kwa waendesha dala dala. Sioni faida nyingine zaidi ya wao kuomba pesa, hawajawahi kuzuia magari mabovu yasiendelee na safari, wala makosa mengine. Ukiona dereva kapigwa faini ujue ana ugomvi binafsi na Trafiki
 
Hawa askari wa Usalama barabarani wamekuwa kero sana, kuna jambo halijakaa sawa.
Jumamosi kutoka Kigamboni hadi Kifuru nimepigwa mkono mara 4.
1. Kibada kuja roundabout ya kuelekea daraja la Nyerere mkono 1.
2. Veterinary kuja Nyerere Road kupitia mchepuko wa Mchicha mkono 2.
3. Vingunguti to Barakuda pale machinjioni mkono wa 3.
4. Segerea pale karibu na stendi mkono wa 4. Ayseee sitaki kusema mengi lakini viongozi wetu kwenye hii sekta angalieni sana hizi kero. Sote tunajua Sikukuu zimekarbia na maaandalizi ya Ada za watoto Januari, pesa haitafutwi kwa ulazima na uonevu badilikeni mnakera. Kila mmoja ana kazi rasmi sasa mkiamua kutumia ajira zenu kujineemesha mnaifedhesha Serikali yenu, badilikeni maafande.
Mikono 14. Ilikutoka bei gani?

Walifanya ukaguzi gani?

Ukaguzi ulikuwa fair?
 
Kuna wengine barabara ya kutoka Singida (mwenge) kwenda njiapanda wanapaki katikati pale. Kazi yao kubwa ni kusubiri pesa kutoka kwa waendesha dala dala. Sioni faida nyingine zaidi ya wao kuomba pesa, hawajawahi kuzuia magari mabovu yasiendelee na safari, wala makosa mengine. Ukiona dereva kapigwa faini ujue ana ugomvi binafsi na Trafiki
Kuna wale wapo ndani ya Stendi ya Simu 2000 (Mawasiliano) ni maokoto
 
Back
Top Bottom