Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,741
- 25,681
LabdaMhh ina maana nyuzi bado hazijakatwa?..
LabdaMhh ina maana nyuzi bado hazijakatwa?..
Mkuu mwenye bahati habahatishi
Yeah, lolote linaweza kutokea,mwanamke hata akiwa Rais ataolewa tu hata na mtunza bustaniKwahiyo mkuu unataka kuniambia nijaribu bahati ?
[emoji23]sawa mkuuYeah, lolote linaweza kutokea,mwanamke hata akiwa Rais ataolewa tu hata na mtunza bustani
Japo ni kibovu ila kimefanikiwa kunistua kidogo
Naww ni zuzu ndo maana umekuja kwa mazuzu wenzioUzi wa Mazuzu!
Nilikuwa napita kwa mbali nikaona mkutano niliposogea ndo nimegundua ni wa Mazuzu kwa hiyo napita tu Mwenyekiti, samahani!Naww ni zuzu ndo maana umekuja kwa mazuzu wenzio
Inasemekana eti n bwana wa mtu... Hizi taarifa nmeziskia kitambo ila hajawai kukanusha hata siku 1
PASAKA BULAYAunamaanisha kwamba anamiliki mwanamke mwenzie?