Juzi nilipo log in my account nilikuta kozi moja not eligible leo nilipo log in ile ya kwanza imekuwa eligible but ya pili na ya tatu zimekuwa not eligible. Kwa anaefahamu huwa wanamaanisha nini kufanya haya
na kwa wale walio fnya kuomb DIP tayar zmesha toka kw walio chaguliwa but 2zid kuomb mungu coz TCU Jaman pasua kchwa na hi new systm yao ya onlne mmh! n shda 2pu xam tme!! though inasmplfy work but inabor pia.