kwani mzee ni kiwango gani cha elimu kinachoitajika kuwa customer care Airtel mi ni mwaka wangu wa mwisho chuo hapa Dar na ratiba yangu imejiachia sana kwani siwezi kufanya hii kazi au hawana shifting ? kama vipi ili na mimi nipeleke cv kama mdau hapo juu.naomba msaada wako ndugu yangu.