Post #3 imemaliza yote, mara ingine usinunue simu bila kuichunguza, kila la kheri mkuu.Nikitumia volume na pawa bado inakataa
uwe na timing nzuri ya kubonyeza zote kwa pamoja, kuna mtu anayo hapa na inakubali bila shidaNikitumia volume na pawa bado inakataa
Iko hivi inategemea na kitu unachotaka kupiga screenshot kuna vingine wame restrict kuchukua screenshotsNikitumia volume na pawa bado inakataa
Shikilia batani ya kupunguzia sauti na ya kuzimia kwa pamoja Theni unaclick kidogo tu itascreen shot nduguHabar wakuu,
Natumia sim ya samsung A02 nikitaka ku screen shot inakataa ina maana hii cm haina screen shot? Pia nilikuwa najaribu kuangalia option ya finger print pia hakuna ina maana samsung wamechoka kias kwamba wameshindwa kuweka finger print na screen shot kwenye A02?
Chief mkwawa ni kweli hawana screen shot na finger print au mm mwenyewe tu nimeshindwa kugundua zilipo?
Habar wakuu,

umenunua kopo af unakaumu?
Asa izo dharau kaka ....maisha hatufanan mm nanunua kitu kulingana na pesa yangu inavyoruhusu .... sasa ukisema kopo samsung A02 mama yako atakuwa anatumia nn? Maana ndio unataka majibu ya shit.......inatakiwa uwe mstaarabu na si kukashifu watu umuumenunua kopo af unakaumu?
Sasa kwan pesa niliyonunua hii cm siwez kupata cm yenye fingerprint? Mbona ma infinix ningeweza kupata na pesa ikabaki? Sema nimekosea timing tu kama alivyosema ndugu yangu hapoTafuta hela Mkuu ili uwe unanunua kitu kinacho meet ur requirement.