R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,188 Reaction score 54,643 May 23, 2022 #1 Habari wakuu. Kuna hii sms imekuja asubuhi whatsapp kama mnavyoona kwenye screenshot π Nimejaribu kufungua link ikakataa... Yani wanatoa ajira za muda mfupi na za kudumu kwa mshahara wa Tsh 50,000 hadi 500,000. Niliposhangaa wanalipa kwa siku
Habari wakuu. Kuna hii sms imekuja asubuhi whatsapp kama mnavyoona kwenye screenshot π Nimejaribu kufungua link ikakataa... Yani wanatoa ajira za muda mfupi na za kudumu kwa mshahara wa Tsh 50,000 hadi 500,000. Niliposhangaa wanalipa kwa siku
Nakadori JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 8,779 Reaction score 21,053 May 23, 2022 #2 Hao scammers ndugu
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,577 Reaction score 89,228 May 23, 2022 #3 Ndo akina mbuzi hao wanataka kula kwa urefu wa kamba zao!
A Anti-monitor JF-Expert Member Joined May 14, 2022 Posts 518 Reaction score 794 May 23, 2022 #4 Hapo utakula za uso tu
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,319 Reaction score 103,567 May 23, 2022 #5 Daily salary, Mshahara wa siku fifty hadi mia 5 man si wangejazana ndugu zao tu.
Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 14,232 Reaction score 40,724 May 23, 2022 #6 Mshahara wa 50,000 mpaka 500,000 kwa siku...haya