Hawa ni watu (public figures) watano ambao Taifa linapaswa kujivunia

ĸati ya vitu navojutia mwaka huu ni kusoma huu Uzi wa kidwanzi.... Upuuuzi kabisa f*ckin
 
Nimeziwaza Sana akili zako si Kama nakudharau but najiuliza upeo na uwezo wako wakufikir ndo really umeishia hapa? Yan utauekea thread yakidwanzi hivi hapo labda nick WA pili sikupingi
na sio the most ila ho wengine naona umeoneasha uwezo wako WA kufikir ulipoishia hongera
 
We jamaa, ukila kitu cha R Chuga tulia kwanza kama masaa 6 hivi yapite ndiyo uandike uzi.
 
Nafikiri kwa busara ya uandishi ungeandika; kwa mtazamo wako
 
Nilidhani umeandika wasifu wa mslejendary konki wa nchi. Nimepata hasara kusoma utumbo huu nikidhani ni stake
 
Mkuu, mbona ni kama umetumia nguvu nyingi kuandika hewa? Umetumwa?

Mfano, huyo namba 1, labda umahiri wake ni kwenye utekaji tuu, baas.

Hao wengine, mmmhh!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…