Hawa ni watoto au maharamia?

hii ndo inayofanyika nchi nzima ndo mana Lowasa anasema ataweka one stop centre kupunguza hii tabia ya udokozi

with time jamii nzima itaacha hii tabia iliyokithiri ya kupata 10%
 

Inasikitisha sana.Yaani masuala kama hayo yananifanya nikose imani kwa binadam wote,haijalishi ni nani yako.
 
Hayo ndio matokeo ya kukomaaa na Magamba kwa miaka 54
MeinKempf wewe ni mpumbavu na lofa. Kama siyo una akili za kipumbavu basi wewe utakuwa lofa. Je CCM imekuwepo kwa miaka 54? Ulivyompubavu unashindwa hata kuelewa CCM ilikuwepo lini madarakani. Kibaya zaidi ulivyo lofa hujui wizi kwa watanzania ni sifa ndiyo maana fisadi lowasa kainunua chadema na nyie mnashangilia ili mkapige dili. Kwa ufupi fisadi jizi lako lowasa haliwezi kushinda
 
Last edited by a moderator:

Ndiyo maana tunasama tunahitaji Dr Magufuli ili akemee na kutokomeza rushwa na mawazo ya rushwa. Maana ukiangalia kwa sasa kila mtanzania anawaza rushwa (yaani ukiwa umeajiliwa sehemu ambayo huwezi kuiba wanasema eti sehemu yangu ya kzai mbaya, ila kama umeajiliwa sehemu ya kuiba basi unasifika mitaani.
 
Hahahahah,sema inachangiwa na ukauzu wa mzazi...Mtu kama kigwasu unamfisadi tu maana hamna namna nyingine! We mtu anakutuma deile af "Keep Change" haijawahi kutokea unategemea nini?
 
mleta mada nadhana unesahau 2po kwenye mod gan ya prodation kwa kifupi 2po kwenye captalism
 

hata dozi haijaingia umeanza kutapika na kuhara damu pole ndugu
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha vibinti navyo vinaibia mama zao siku hizi!!!! hali tete kwa bwana zao
 
Mwenyezi mungu atunusuru Na vizazi vyetu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…