Hawa ni nzi au nyuki?

wakuu mi nmeangalia hii picha na kuona ni picha ya dukani. Sehemu iliyo zungushiwa haifanani na sehemu iliyokuzwa. ukiangalia hata idadi ya nzi sehemu iliyo zungushiwa ni tofauti na nzi walio sehemu iliyokuzwa. hata nguo sehemu iliyozungushiwa ni tofauti na nguo zinazo onekana sehemu iliyo kuzwa. ni hayo tu. Mia
Mkuu inziiiiiiii wengine wameruka wakati anakuza picha..usibishe!
 
yaani hao nzi walipokaa nadhani angekuwa uchi basi angeugua kipindupindu...
 
Back
Top Bottom