Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
hao ni nzi mzee... hapo hapana swali...!Hapa nimeshindwa kutofautisha. Hawa ni nzi au nyuki? Wakuu wenye macho "makali" naomba msaada!
View attachment 44061
tena wale wa chooni!nzi kijani
wakuu mi nmeangalia hii picha na kuona ni picha ya dukani. Sehemu iliyo zungushiwa haifanani na sehemu iliyokuzwa. ukiangalia hata idadi ya nzi sehemu iliyo zungushiwa ni tofauti na nzi walio sehemu iliyokuzwa. hata nguo sehemu iliyozungushiwa ni tofauti na nguo zinazo onekana sehemu iliyo kuzwa. ni hayo tu. Mia