Hawa ni ndugu?

kibaya zaid nenda marking ya NECTA utajioneaq vituko.
Nasikia huko mnasahihisha vijana somo la sayansi anashuka mashairi ya bongo fleva za kina Diamond!?!


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mbona idadi ya herufi ni ile ile . . . .sijui wanaonaga ugumu gani kuandika tu kawaida.
Bora hata hapo kwenye "mix & miksi" kidogo herufi zinapungua.

wana vithembe hadi kwenye maandishi...
 
Heri ya mwaka mpya lovely dady, hivi kumsusa hivi mwanao ndio nini maana yake?

hey sweetpie Heri ya Mwaka mpya...
Miss you a lot daughter wala sijakususa jaman...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…