hapo ulipoandika ukaweka na x unamaanisha nini
mmbo ya digitali ati..
wananikera kutuandikia lugha zao hawa watoto,
hivi A na B ni sawa??
xaxa = sasa
xana = sana
mix = miksi
.........
....
..
Mbona idadi ya herufi ni ile ile . . . .sijui wanaonaga ugumu gani kuandika tu kawaida.
Bora hata hapo kwenye "mix & miksi" kidogo herufi zinapungua.
Ni swaga tuu..
Ndo maana nchi haindelei kwa ajili yenu nyie vibabu
Mnaenda off topic
hapo ulipoandika ukaweka na x unamaanisha nini
Mnaenda off topic