Hawa ni matapeli au??

Hawa ni matapeli au??

mandinka

Senior Member
Joined
Apr 21, 2014
Posts
186
Reaction score
38
Hawa ni matapeli au??

Hawa ni matapeli au??

Habari za jioni wana jamvi!!<br />Last week kuna nafasi za mbali mbali zilitazwa kupitia zoom na ajirazetu.Hizo post zilikuwa za mine surveyor na zingine nyingi,hao waliotangaza walijiita Labour consultancy company Ltd.

Walitoa email kama address yao ya kutuma na nilituma.sasa leo wamenitumia sms kupitia no.hii 0744482882 kwamba niangalie kwenye e-mail kuna maelekezo ya interview.

Nikacheki kwenye e-mail yangu nikakuta wamenitumia email iliyoeleza maeneo yakufanyia interview,ambayo kuna golden crest mwanza,sea clief masaki,morogoro na dodoma pia.
Sasa kilichonishtua kwenye ile e-mail wameandika registration fee 20,000 natakiwa niitume kupitia hiyo no.ya cm.
Naomba anayefahamu ukweli kuhusu hawa jamaa au kama kuna ashawahi kupata kazi kupitia hawa jamaa,maana wasije kuwa wachumia tumbo.
Karibuni..
 
Bro vibaka haoo utapigwa pesa yako,jaribu kwanza kuipiga hiyo namba
 
Fanya kila deal ila ikifika hatua ya kuambiwa tuma hela ishia hapo!
 
To apply, please send a current resume, a cover letter and salary expectations thru APPLY NOW.

Kipindi natafuta kazi nilikuwa siipendi hiyo sentensi inayopatikana ZoomTanzania.
 
Back
Top Bottom