mandinka
Senior Member
- Apr 21, 2014
- 186
- 37
Habari za jioni wana jamvi!!
Last week kuna nafasi za mbali mbali zilitazwa kupitia zoom na ajirazetu.Hizo post zilikuwa za mine surveyor na zingine nyingi,hao waliotangaza walijiita Labour consultancy co.Ltd. Na walitoa e-mail zao na walidai wanataka watu kwa ajili kuwasambaza kwenye 2 mining zone nchini tanzania.
Nilituma cv zangu kama siku 4 zilizopita hivi,jana wamenitumia email kwenda kwenye interview tar.30 .1.2016.hiyo wakanitumia pia kwenye cm mkononi,lakni cha ajabu kwenye e-mail wameniambia kuna registration fee 20,000 natakiwa niitume.
Humu ndani kama mtu anaewajua hawa jamaa naomba atupe uzoefu wake au kama kuna mtu kupata kazi kupitia hawa jamaa.
Maana wasije kuwa wachumia tumbo.
Ahsanten
Nakaribisha maana humu hakikosekani kitu.