GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,318
Namkumbuka sana Mobutu Sese Seko kama mmoja ya Marais ambaye aliishi maisha ya kifahali sana huku wananchi wake wakiteseka nchini Kongo.
Aliua na kutesa waliokuwa wakimpinga huku akitengeneza mazingira ya kupendwa na vijana na wanamuziki.
Aliuza madini ya nchi ya Kongo huku yeye na familia yake wakipata pesa kwa kamisheni na rushwa.
Kuna akina Bokassa na huku kwa upande wetu East Afrika tuwataje walikuwepo na waliopo hai ambao walihusika kuzifanya nchi zao kuwa maskini wakijitajilisha wao na familia zao.