usisishangae siku hiz kumuona Engineer anakuwa Bank Teller. Tatizo ni mfumo wa nchi ni mbovu , tunaomba Serikali wangekuwa wanawaajili engineers kama Madaktari wanavyoajiliwa , lakini kwa style iliyokuwepo sasa hiv , serikali inashindwa kuwaajili watu wao ,ikitokea project yoyote wanachukua engineers toka nje , kweli tutafika wakuuuu . Engineers wengine wanaamua kuungana na kufungua kampuni ,bcoz hawana fedha wanashindwa kuiendesha kampuni yao.... Tunaomba Serikali mutafute Suluhisho la suala hili....