Nimekusoma MkushMkuu chama huwa ni ideology!! ideology ya Chadema ni harakati! wanachokosea ni mbinu za kufikisha agenda zao wanatumia mihemko jazba kashfa na matusi!
Bahati mbaya kiongozi wao DJ Makengeza ni dikteta, mlevi, mzinzi na mwizi wa ruzuku na michango! garbage in garbage out!!
Sidhani kama una akili sawasawa, au upeo wako wa kufikiri upo kama wa kuku,Hili lichama ni la kihuni tu..lakini waTanzania baadhi hamuonagi,sijui hua mna macho gani na fikra gani. Chama cha wahuni hiki wala msisingizie eti serikali inatenda mabaya,hua wanatafuta kitu chenye kuvunja sheria wazi wazi ili wakikamatwa watengeneze story, ukitaka kujua hawa ni wahuni tazama wanavyo jiendesha na tazama majuzi na jana jinsi hiyo CCM ilivyo kua ikiendesha mambo yake LIVE kila mtu anaona,kundi kubwa la watu wengi wao wakiwa na hekima na busara,lakini upande wa pili wako kihuni huni tu hata hawaeleweki
Hili lichama ni la kihuni tu..lakini waTanzania baadhi hamuonagi,sijui hua mna macho gani na fikra gani. Chama cha wahuni hiki wala msisingizie eti serikali inatenda mabaya,hua wanatafuta kitu chenye kuvunja sheria wazi wazi ili wakikamatwa watengeneze story, ukitaka kujua hawa ni wahuni tazama wanavyo jiendesha na tazama majuzi na jana jinsi hiyo CCM ilivyo kua ikiendesha mambo yake LIVE kila mtu anaona,kundi kubwa la watu wengi wao wakiwa na hekima na busara,lakini upande wa pili wako kihuni huni tu hata hawaeleweki
KWANINI WARUNDIKWE SERO?View attachment 1504356View attachment 1504357View attachment 1504358
Taarifa zinaonyesha kwamba mpango wa kuwarundika sero wanachadema wengi zaidi kwa siku zinazokuja umekamilika, atakayefuatia ni mgombea ubunge wa CHADEMA jimbo la Serengeti.
Chadema ni chama cha wahuni,mwenye kukasirika akatekate viwembe ameze na glass moja ya maji
Nenda kasikilize mapambio mapya ya yesu wa burigi yanavyotiririka kutoka kwaya ya Lugora.Unaimba tuu hii cd imechoka saan
Unaimba tuu hii cd imechoka saan
Pumbav.Hili lichama ni la kihuni tu..lakini waTanzania baadhi hamuonagi,sijui hua mna macho gani na fikra gani. Chama cha wahuni hiki wala msisingizie eti serikali inatenda mabaya,hua wanatafuta kitu chenye kuvunja sheria wazi wazi ili wakikamatwa watengeneze story, ukitaka kujua hawa ni wahuni tazama wanavyo jiendesha na tazama majuzi na jana jinsi hiyo CCM ilivyo kua ikiendesha mambo yake LIVE kila mtu anaona,kundi kubwa la watu wengi wao wakiwa na hekima na busara,lakini upande wa pili wako kihuni huni tu hata hawaeleweki
Pumbav.
Uhuni maana yake nini?DAS kafukuzwa kazi kisa anakula kimada cha Mwenyekiti...Hiki chama cha wahuni na watafuta kick za umaarufu.
Mfano tumeuona yule mdada wa serengeti juzi.
Akiwa anawaprovoke polisi live kwa kuwaita majina ya kuudhi.
Ingawa walikuwa wastaarabu na walimnyima kick na wahuni wake.
Kampeni bado, yeye misafara na mabodaboda ya nini tena jambo lenyewe ni tukio la kurudisha fomu za kuomba uteuliwa.
WANAONGOZWA NA HHI KITU.View attachment 1504380View attachment 1504381View attachment 1504383
AiseeeeVIJANA WA CCM TUKAE KWA KUTULIA.
Na Thadei Ole Mushi.
Kila nikiangalia hii picha ya Joshua Nasari, nikikumbuka na swali lililoulizwa na Mjumbe Wa NEC toka Songwe kuhusu wahamiaji kupewa Vyeo badala ya vijana waliopo CCM nacheka Sana.
Definitely tuache Hawa vijana wajinafasi kwa kuwa sioni ndani ya UVCCM mwenye uwezo wa kuwazidi. Nilipokuwa nasema Sana kuhusu hili miaka ya kuanzia 2017 Hakuna waliokuwa wanaunga mkono Hoja hiyo kila mtu alikuwa anaimba litania, Ngonjera,Pambio za Masifu, kupiga Manyanga nk.
Niliwaambia ifikapo 2020 mtakumbuka haya niliyokuwa nawaandikia na niliwaambia CCM Asilia itakuwa imetekwa na kutiwa mfukoni. Ni Dhahiri baada ya chuo Cha kivukoni kushindwa kupika vijana wa CCM Chadema inatusaidia jukumu Hilo.
Huwa nawaambia mnapata wapi ujasiri wa kuwaita Chadema Nyumbu? Hahahahah tutulie infact hatuna vijana wanaofikia viwango vya Hawa watu. Tutulie tuendelee na kujifua.
Ukiona baba yako anawagawia watoto wa Jirani Urithi ujue wewe ni mvuta bangi na mla Unga. Akikupa Urithi utauza upate hela ya kulamba Unga.
Ole Mushi
0712702602
Mi simo .....Uhuni maana yake nini?DAS kafukuzwa kazi kisa anakula kimada cha Mwenyekiti...
Hatari sn sn mkuu......Aiseeee
USIANDIKE TU ETI KWA KUWA NI MEMBER HUMU JF.Hili lichama ni la kihuni tu..lakini waTanzania baadhi hamuonagi,sijui hua mna macho gani na fikra gani. Chama cha wahuni hiki wala msisingizie eti serikali inatenda mabaya,hua wanatafuta kitu chenye kuvunja sheria wazi wazi ili wakikamatwa watengeneze story, ukitaka kujua hawa ni wahuni tazama wanavyo jiendesha na tazama majuzi na jana jinsi hiyo CCM ilivyo kua ikiendesha mambo yake LIVE kila mtu anaona,kundi kubwa la watu wengi wao wakiwa na hekima na busara,lakini upande wa pili wako kihuni huni tu hata hawaeleweki
Kukataza mtu mwingine asigomee na kulazimisha wote waseme ndioo nayo ni BUSARA?, Uzezeta umeabadili mpaka uwezowenu wa kufikiria.Hili lichama ni la kihuni tu..lakini waTanzania baadhi hamuonagi,sijui hua mna macho gani na fikra gani. Chama cha wahuni hiki wala msisingizie eti serikali inatenda mabaya,hua wanatafuta kitu chenye kuvunja sheria wazi wazi ili wakikamatwa watengeneze story, ukitaka kujua hawa ni wahuni tazama wanavyo jiendesha na tazama majuzi na jana jinsi hiyo CCM ilivyo kua ikiendesha mambo yake LIVE kila mtu anaona,kundi kubwa la watu wengi wao wakiwa na hekima na busara,lakini upande wa pili wako kihuni huni tu hata hawaeleweki
We nae ni farasi wa kike wa wapi we mwanamke?unaishi vijiji gani huko?maana umekurupuka tuKukataza mtu mwingine asigomee na kulazimisha wote waseme ndioo nayo ni BUSARA?, Uzezeta umeabadili mpaka uwezowenu wa kufikiria.
Hii Sasa ungeleta wewe au ungeanzishia uzi wake!Weka na wa sisiemu wanaosakamwa na takukuru