Hawa ni baadhi ya WanaCHADEMA waliokamatwa ndani ya wiki moja tu na kunyimwa dhamana. Who is next?

G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
4,999
2,000
Muhuni ni babako na mamako
Mimi ni kama wewe..nimewahi kuwaamini hao chadema,lakini haya yapokee iwapo unalipenda hilo chama,ili ukawashauli au baki kama mimi kua sina chama, nasema tena hilo chama la wahuni wavuta bangi walevi na washenzi ukiwemo na wewe.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
110,288
2,000
Hilo kundi wapo wazee wako woote na laana zao zikufikie kichwani mwako
Mimi ni kama wewe..nimewahi kuwaamini hao chadema,lakini haya yapokee iwapo unalipenda hilo chama,ili ukawashauli au baki kama mimi kua sina chama, nasema tena hilo chama la wahuni wavuta bangi walevi na washenzi ukiwemo na wewe.
 
kipande

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
2,064
2,000
Kosa hapo ni lipi mkuu? Ameitisha mkutano kinyume na sheria? Au ameenda kurudisha fomu na watu wake? Aina kosa na kifungu cha sheria kinachoonesha hilo kosa tafadhali.
Hujui kama ni kosa kufanya mikusanyiko. Kumbe hata sheria hamjui, ndo maana mnaendeshwa kihuni.
 
Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
23,625
2,000
Hili lichama ni la kihuni tu..lakini waTanzania baadhi hamuonagi,sijui hua mna macho gani na fikra gani. Chama cha wahuni hiki wala msisingizie eti serikali inatenda mabaya,hua wanatafuta kitu chenye kuvunja sheria wazi wazi ili wakikamatwa watengeneze story, ukitaka kujua hawa ni wahuni tazama wanavyo jiendesha na tazama majuzi na jana jinsi hiyo CCM ilivyo kua ikiendesha mambo yake LIVE kila mtu anaona,kundi kubwa la watu wengi wao wakiwa na hekima na busara,lakini upande wa pili wako kihuni huni tu hata hawaeleweki
Huna kosa shida yako unajua kusoma na kuandika.
 
Real Patriotist

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
261
1,000
Hujui kama ni kosa kufanya mikusanyiko. Kumbe hata sheria hamjui, ndo maana mnaendeshwa kihuni.
Aliyekuambia kukusanyika ni kosa nani? Kwahiyo niko na kikao nyumbani kwangu na ndugu zangu tukakusanyika ni kosa? Acha basi labda jaribu kuelezea mikusanyiko ya aina gani mkuu.
 
mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
5,283
2,000
Hili lichama ni la kihuni tu..lakini waTanzania baadhi hamuonagi,sijui hua mna macho gani na fikra gani. Chama cha wahuni hiki wala msisingizie eti serikali inatenda mabaya,hua wanatafuta kitu chenye kuvunja sheria wazi wazi ili wakikamatwa watengeneze story, ukitaka kujua hawa ni wahuni tazama wanavyo jiendesha na tazama majuzi na jana jinsi hiyo CCM ilivyo kua ikiendesha mambo yake LIVE kila mtu anaona,kundi kubwa la watu wengi wao wakiwa na hekima na busara,lakini upande wa pili wako kihuni huni tu hata hawaeleweki
Kama chama ni cha wahuni,huoni ukichangia huu uzi wewe ndiyo unaonekana ndiyo mhuni zaidi?
 
kipande

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
2,064
2,000
Aliyekuambia kukusanyika ni kosa nani? Kwahiyo niko na kikao nyumbani kwangu na ndugu zangu tukakusanyika ni kosa? Acha basi labda jaribu kuelezea mikusanyiko ya aina gani mkuu.
Ndo maana nasema hamjui Sheria. Yaani unadiriki kabisa kusema eti kukusanyika ni kosa? Nenda kasome sheria ya polisi utajua.
 
zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
7,173
2,000
Hili lichama ni la kihuni tu..lakini waTanzania baadhi hamuonagi,sijui hua mna macho gani na fikra gani. Chama cha wahuni hiki wala msisingizie eti serikali inatenda mabaya,hua wanatafuta kitu chenye kuvunja sheria wazi wazi ili wakikamatwa watengeneze story, ukitaka kujua hawa ni wahuni tazama wanavyo jiendesha na tazama majuzi na jana jinsi hiyo CCM ilivyo kua ikiendesha mambo yake LIVE kila mtu anaona,kundi kubwa la watu wengi wao wakiwa na hekima na busara,lakini upande wa pili wako kihuni huni tu hata hawaeleweki
jana lile kundi wengi wana hekima na busara

nimeamini hata mpumbavu akikaa kimya huesabika ana busara

lile ni kundi la wapumbavu walio kaa kimya hivyo kuhesabika wana hekima na busara ila nakuhakikishia pale 98% hawajielewi 1% wako ki maslai 1% wanajielewa ila njaa haina baunsa
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
14,725
2,000
Hili lichama ni la kihuni tu..lakini waTanzania baadhi hamuonagi,sijui hua mna macho gani na fikra gani. Chama cha wahuni hiki wala msisingizie eti serikali inatenda mabaya,hua wanatafuta kitu chenye kuvunja sheria wazi wazi ili wakikamatwa watengeneze story, ukitaka kujua hawa ni wahuni tazama wanavyo jiendesha na tazama majuzi na jana jinsi hiyo CCM ilivyo kua ikiendesha mambo yake LIVE kila mtu anaona,kundi kubwa la watu wengi wao wakiwa na hekima na busara,lakini upande wa pili wako kihuni huni tu hata hawaeleweki
Huu ni mwandiko wa mbunge wa Mtera kabisaaaa! Na kama siyo yeye akanushe.
 
Gellangi

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
2,093
2,000
Wamepanic na wanafanya mambo
View attachment 1504356 View attachment 1504357 View attachment 1504358

Taarifa zinaonyesha kwamba mpango wa kuwarundika sero wanachadema wengi zaidi kwa siku zinazokuja umekamilika, atakayefuatia ni mgombea ubunge wa CHADEMA jimbo la Serengeti.
Wanaweweseka na hasira zao wanazimalizia kwa wapinzani wa kweli,kamata kamata na kufunguliwa kesi/tuhuma za uchochezi ambazo hazina dhamana POLISI na/au Mahakamani.Uvunjifu wa sheria wa wazi wazi unafanywa na vyombo vya kutenda haki.Bado kuna watu wanasifia ili yasiwakute ya kina Membe&co.Maajabu ya Tanzania iliyokuwa kiranja wa kupigania haki za binadamu imevurugwa kikamilifu ndani ya muda mfupi na watu wachache wenye ushawishi na manufaa binafsi na chama chao kilichokataliwa.
Mawazo yangu yananielekeza kwamba Tatizo la Tanzania Yetu kwa Sasa ni aina ya misingi yetu,kwa asilimia kubwa imeharibiwa ili watu wajinufaishe na hakuna namna au utaratibu wa kuwahoji.Katiba tuliyo nayo,tulikubaliana kuiandika upya mwaka 2013/14/15 ila mchakato ukatekwa na wanasiasa katika hatua za mwisho.Katiba ikaruhusu upotevu wa raslimali nyingi kwenye mchakato uliotelekezwa,hakuna anayeruhusiwa kuhoji au kuuliza kwa nini tumeuacha?Wanadai siyo kipaumbele chao,je Mhe.Magufuli akimaliza mihula yake ni mfumo gani ulioandaliwa kuhakikisha nchi anayodai kuinyoosha haipindi tena?
Nafikiri Mhe.Magufuli ningeamini kama kuwa ni kiongozi anayeitakia mema Tanzania asingekataa kuweka kipaumbele cha Katiba kuwa namba moja na mengine yangefuata reli.Nguvu kubwa anazotumia zisingehitajika na mifumo hiyo ikawa na misingi ya usimamizi na uwajibikaji wa wote.What next after President Magufuli's terms?
 
gigabyte

JF-Expert Member
May 27, 2015
2,437
2,000
Hili lichama ni la kihuni tu..lakini waTanzania baadhi hamuonagi,sijui hua mna macho gani na fikra gani. Chama cha wahuni hiki wala msisingizie eti serikali inatenda mabaya,hua wanatafuta kitu chenye kuvunja sheria wazi wazi ili wakikamatwa watengeneze story, ukitaka kujua hawa ni wahuni tazama wanavyo jiendesha na tazama majuzi na jana jinsi hiyo CCM ilivyo kua ikiendesha mambo yake LIVE kila mtu anaona,kundi kubwa la watu wengi wao wakiwa na hekima na busara,lakini upande wa pili wako kihuni huni tu hata hawaeleweki
Kama ni wahuni wewe unaumia nini?.Si uwaache na uhuni wao.Pamoja na kwamba kila mtu anaakili zake ila zako naona zimeshikwa mahali.
 
Mhujumu Uchumi

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
1,579
2,000
View attachment 1504356 View attachment 1504357 View attachment 1504358

Taarifa zinaonyesha kwamba mpango wa kuwarundika sero wanachadema wengi zaidi kwa siku zinazokuja umekamilika, atakayefuatia ni mgombea ubunge wa CHADEMA jimbo la Serengeti.
Wawaweke mahabusu, ipo siku watatoka,
Hao madhulmati muda wao ukifika sisi tutawaweka mahabusu ambayo hawatakaa watoke! Acha waendelee kusinzia, na infact muda wao umeshafika, ,mtego upo pale rais akishatua nchini akitokea ubelgiji watajuta!
 
USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
6,340

Unaimba tuu hii cd imechoka saan
 
Gia kubwa

JF-Expert Member
May 28, 2020
473
1,000
Chadema ni chama cha wahuni,mwenye kukasirika akatekate viwembe ameze na glass moja ya maji
Mkuu chama huwa ni ideology!! ideology ya Chadema ni harakati! wanachokosea ni mbinu za kufikisha agenda zao wanatumia mihemko jazba kashfa na matusi!

Bahati mbaya kiongozi wao DJ Makengeza ni dikteta, mlevi, mzinzi na mwizi wa ruzuku na michango! garbage in garbage out!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom