Hawa ni baadhi ya WanaCHADEMA waliokamatwa ndani ya wiki moja tu na kunyimwa dhamana. Who is next?

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,627
2,000
VIJANA WA CCM TUKAE KWA KUTULIA.

Na Thadei Ole Mushi.

Kila nikiangalia hii picha ya Joshua Nasari, nikikumbuka na swali lililoulizwa na Mjumbe Wa NEC toka Songwe kuhusu wahamiaji kupewa Vyeo badala ya vijana waliopo CCM nacheka Sana.

Definitely tuache Hawa vijana wajinafasi kwa kuwa sioni ndani ya UVCCM mwenye uwezo wa kuwazidi. Nilipokuwa nasema Sana kuhusu hili miaka ya kuanzia 2017 Hakuna waliokuwa wanaunga mkono Hoja hiyo kila mtu alikuwa anaimba litania, Ngonjera,Pambio za Masifu, kupiga Manyanga nk.

Niliwaambia ifikapo 2020 mtakumbuka haya niliyokuwa nawaandikia na niliwaambia CCM Asilia itakuwa imetekwa na kutiwa mfukoni. Ni Dhahiri baada ya chuo Cha kivukoni kushindwa kupika vijana wa CCM Chadema inatusaidia jukumu Hilo.

Huwa nawaambia mnapata wapi ujasiri wa kuwaita Chadema Nyumbu? Hahahahah tutulie infact hatuna vijana wanaofikia viwango vya Hawa watu. Tutulie tuendelee na kujifua.

Ukiona baba yako anawagawia watoto wa Jirani Urithi ujue wewe ni mvuta bangi na mla Unga. Akikupa Urithi utauza upate hela ya kulamba Unga.

Ole Mushi
0712702602
 
G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
4,999
2,000
Mkuu chama huwa ni ideology!! ideology ya Chadema ni harakati! wanachokosea ni mbinu za kufikisha agenda zao wanatumia mihemko jazba kashfa na matusi!

Bahati mbaya kiongozi wao DJ Makengeza ni dikteta, mlevi, mzinzi na mwizi wa ruzuku na michango! garbage in garbage out!!
Nimekusoma Mkush
 
pilipili kichaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
13,097
2,000
Hili lichama ni la kihuni tu..lakini waTanzania baadhi hamuonagi,sijui hua mna macho gani na fikra gani. Chama cha wahuni hiki wala msisingizie eti serikali inatenda mabaya,hua wanatafuta kitu chenye kuvunja sheria wazi wazi ili wakikamatwa watengeneze story, ukitaka kujua hawa ni wahuni tazama wanavyo jiendesha na tazama majuzi na jana jinsi hiyo CCM ilivyo kua ikiendesha mambo yake LIVE kila mtu anaona,kundi kubwa la watu wengi wao wakiwa na hekima na busara,lakini upande wa pili wako kihuni huni tu hata hawaeleweki
Sidhani kama una akili sawasawa, au upeo wako wa kufikiri upo kama wa kuku,
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
8,046
2,000
Hili lichama ni la kihuni tu..lakini waTanzania baadhi hamuonagi,sijui hua mna macho gani na fikra gani. Chama cha wahuni hiki wala msisingizie eti serikali inatenda mabaya,hua wanatafuta kitu chenye kuvunja sheria wazi wazi ili wakikamatwa watengeneze story, ukitaka kujua hawa ni wahuni tazama wanavyo jiendesha na tazama majuzi na jana jinsi hiyo CCM ilivyo kua ikiendesha mambo yake LIVE kila mtu anaona,kundi kubwa la watu wengi wao wakiwa na hekima na busara,lakini upande wa pili wako kihuni huni tu hata hawaeleweki

Halizidi lile chama lililoiba 1.5trillion.
 
chabusalu

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
7,966
2,000
Hili lichama ni la kihuni tu..lakini waTanzania baadhi hamuonagi,sijui hua mna macho gani na fikra gani. Chama cha wahuni hiki wala msisingizie eti serikali inatenda mabaya,hua wanatafuta kitu chenye kuvunja sheria wazi wazi ili wakikamatwa watengeneze story, ukitaka kujua hawa ni wahuni tazama wanavyo jiendesha na tazama majuzi na jana jinsi hiyo CCM ilivyo kua ikiendesha mambo yake LIVE kila mtu anaona,kundi kubwa la watu wengi wao wakiwa na hekima na busara,lakini upande wa pili wako kihuni huni tu hata hawaeleweki
Pumbav.
 
Turnkey

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
7,323
2,000
Hiki chama cha wahuni na watafuta kick za umaarufu.
Mfano tumeuona yule mdada wa serengeti juzi.
Akiwa anawaprovoke polisi live kwa kuwaita majina ya kuudhi.

Ingawa walikuwa wastaarabu na walimnyima kick na wahuni wake.

Kampeni bado, yeye misafara na mabodaboda ya nini tena jambo lenyewe ni tukio la kurudisha fomu za kuomba uteuliwa.

WANAONGOZWA NA HHI KITU. View attachment 1504380 View attachment 1504381 View attachment 1504383
Uhuni maana yake nini?DAS kafukuzwa kazi kisa anakula kimada cha Mwenyekiti...
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
89,767
2,000
VIJANA WA CCM TUKAE KWA KUTULIA.

Na Thadei Ole Mushi.

Kila nikiangalia hii picha ya Joshua Nasari, nikikumbuka na swali lililoulizwa na Mjumbe Wa NEC toka Songwe kuhusu wahamiaji kupewa Vyeo badala ya vijana waliopo CCM nacheka Sana.

Definitely tuache Hawa vijana wajinafasi kwa kuwa sioni ndani ya UVCCM mwenye uwezo wa kuwazidi. Nilipokuwa nasema Sana kuhusu hili miaka ya kuanzia 2017 Hakuna waliokuwa wanaunga mkono Hoja hiyo kila mtu alikuwa anaimba litania, Ngonjera,Pambio za Masifu, kupiga Manyanga nk.

Niliwaambia ifikapo 2020 mtakumbuka haya niliyokuwa nawaandikia na niliwaambia CCM Asilia itakuwa imetekwa na kutiwa mfukoni. Ni Dhahiri baada ya chuo Cha kivukoni kushindwa kupika vijana wa CCM Chadema inatusaidia jukumu Hilo.

Huwa nawaambia mnapata wapi ujasiri wa kuwaita Chadema Nyumbu? Hahahahah tutulie infact hatuna vijana wanaofikia viwango vya Hawa watu. Tutulie tuendelee na kujifua.

Ukiona baba yako anawagawia watoto wa Jirani Urithi ujue wewe ni mvuta bangi na mla Unga. Akikupa Urithi utauza upate hela ya kulamba Unga.

Ole Mushi
0712702602
Aiseeee
 
JERRY

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
628
500
Hili lichama ni la kihuni tu..lakini waTanzania baadhi hamuonagi,sijui hua mna macho gani na fikra gani. Chama cha wahuni hiki wala msisingizie eti serikali inatenda mabaya,hua wanatafuta kitu chenye kuvunja sheria wazi wazi ili wakikamatwa watengeneze story, ukitaka kujua hawa ni wahuni tazama wanavyo jiendesha na tazama majuzi na jana jinsi hiyo CCM ilivyo kua ikiendesha mambo yake LIVE kila mtu anaona,kundi kubwa la watu wengi wao wakiwa na hekima na busara,lakini upande wa pili wako kihuni huni tu hata hawaeleweki
USIANDIKE TU ETI KWA KUWA NI MEMBER HUMU JF.
ACHA USHABIKI NENDA KWENYE HOJA. KWA NINI HAWA WATIA NIA WANAKAMATWA UPANDE WA PILI HAKUNA KITU KAMA HICHO
 
masluphill

JF-Expert Member
Jul 4, 2012
538
500
Hili lichama ni la kihuni tu..lakini waTanzania baadhi hamuonagi,sijui hua mna macho gani na fikra gani. Chama cha wahuni hiki wala msisingizie eti serikali inatenda mabaya,hua wanatafuta kitu chenye kuvunja sheria wazi wazi ili wakikamatwa watengeneze story, ukitaka kujua hawa ni wahuni tazama wanavyo jiendesha na tazama majuzi na jana jinsi hiyo CCM ilivyo kua ikiendesha mambo yake LIVE kila mtu anaona,kundi kubwa la watu wengi wao wakiwa na hekima na busara,lakini upande wa pili wako kihuni huni tu hata hawaeleweki
Kukataza mtu mwingine asigomee na kulazimisha wote waseme ndioo nayo ni BUSARA?, Uzezeta umeabadili mpaka uwezowenu wa kufikiria.
 
G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
4,999
2,000
Kukataza mtu mwingine asigomee na kulazimisha wote waseme ndioo nayo ni BUSARA?, Uzezeta umeabadili mpaka uwezowenu wa kufikiria.
We nae ni farasi wa kike wa wapi we mwanamke?unaishi vijiji gani huko?maana umekurupuka tu
 
mwanateknolojia

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
1,027
2,000
Haya matumizi mabaya ya vyombo vya dola ndio yatakayokuja kuifagia amani tulio nayo na tunayoendelea kujinasibu kuwa Taifa la amani! Kuna mambo ya hovyo sana yanayofanywa na jeshi la polisi kwa maelekezo ya CCM! Lakini wao CCM wakiyafanya hutalisikia mtu amekamatwa, hata hivi sasa ukipita mitaa karibu yote ya Dodoma kumezagaa bendera za CCM, lakini sijamsikia mkurugenzi wa jiji wala polisi wakiamuru ziondolewe, lakini tumeshuhudia kule Dar es salaam wakati wa vikao vya kamati kuu na Halmashauri kuu ya CHADEMA, bendera za CHADEMA zilimriwa kushushwa kwa nguvu na mkurugenzi wa jiji. Leo hii mgombea wa CCM hata akikusanya mji mzima kusindikiza kuchukua form hutawasikia polis, lakini akifanya hivyo mgombea wa CHADEMA, haraka sana polisi wanamuibukia! Wagombea wa CCM sasa hivi utawasikia wakigawa vifaa vya michezo na misaada ya kijamii kwa makundi mbalimbali, Takukuru wapo kimya, lakini wagombea wa CHADEMA wakifanya hivyo tayari wanakamatwa eti wametoa rushwa! Huu mtindo wa kufanya mambo ya mkuki kwa nguruwe mtamu, kwa binamu mchungu, yatakuja kutupeleka pabaya sana! CCM itambue kuwa amani iliyopo sasa kamwe haiwezi kulindwa na kustawishwa kwa kukamata na kutisha aua kukandamiza wengine, bali kwa kuheshimu na kumtendea kila mmoja haki anayostahili! Kilichopo hadi sasa kinachotunza amani yetu sio uzalendo bali woga na uvumilivu wa wapinzani, hivi vyote kwa binadamu huwa vina ukomo wake!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom