Hawa NEC wanatutafuta ubaya sasa!

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,525
2,000
Huyu mzee wa NEC huyu mwache alete utanintu aulize mwenzie kivuitu yuko wapi
 

Abunuas

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
8,777
2,000
mnamuoneea jaji lubuva bure. sasa angefanyeje? labda wale ambao hawajaandikishwa wafanyiwe operation ya kuwaandika kwenye daftari la kawaida kama chaguzi zilizopita kama dharura in case.

Ni kitambo kidogo kimepita tangu wahusika wa kazi ya uandikishaj wa wapiga kura(NEC) waanzishe zoezi la kuandikisha kwa mfumo mpya wa uandikishaj wa BVR, zoezi ambalo limegubikwa na changamoto mbalimbali ambazo kwa hakika kabis NEC walijua ni lazima zitatokea hata kama hawakujua ni kwa kiwango gan hasa. Katika changamoto zote zilizopo swala la watu kutokuandikishwa lingepaswa licwepo kabs hata kwa garama yyte! Kinachosikitisha ni kwamba malalamiko mengi yametokea kila mahali walipopita hawa waandikishaj kuhus watu waliobaki bila kupata vitambulisho, hayo mm cna uhakika nayo coz ckuwepo huko ila kuna hili linalo nihusu kwamba mkoa wa Arusha uandikishaji ulianza june 6 na unatarajiwa kuisha july 7. Katika wilaya mbalimbli zoezi limeendelea kwa shida kulingana na idadi kubwa ya watu ukilinganisha na mashine za BVR, ss kinacho umiza kichwa ni kuhusu kata ambazo zimesalia ikiwemo ninayoishi kata ya usa river ETI WAMEAHIRISHA UANDIKISHAJI MPAKA TAREHE ISIYOJULIKANA LAKIN NI MWEZI WA SABA, SS SIJUI WANATUTAFUTA NINI WATU WA ARUMERU KWASABABU TUNAJUA NI HAKI YETU KUANDIKISHWA. PIA KWA HILI TUKIANDAMANA MTASEMA TUNAENDESHWA AU NI HAKI YETU TUTAKUWA TUNADAI?!?
 

nkongu ndasu

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
22,530
2,000
poleni sana. tume hii kila ilikoandikisha wapiga kura imeachamatatizo sio kagera wala ruvuma.
 

G.Man

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
963
1,000
tuta wastahi ila wakizid mipaka cdhan kama kuna mtu atakuwa uvumilivu tena zaid ya kumkodisha Kamanda Lema tuingie barabaran
 

nziku korogwe

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
212
170
Kazi kubwa tunayo sasa huku Korogwe kwani hata watendaji hawajui wajibu wao baadhi yao huwatumia wenyeviti wa serikali za vijiji hadi pale ambapo tunaanza kuzozana na kuwapa elimu!
 

G.Man

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
963
1,000
na kama wanataka kufunga goli la mkono, pia hata mabeki wetu wanaweza kuokoa kwa mkono wajue hvy
 

G.Man

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
963
1,000
mnamuoneea jaji lubuva bure. sasa angefanyeje? labda wale ambao hawajaandikishwa wafanyiwe operation ya kuwaandika kwenye daftari la kawaida kama chaguzi zilizopita kama dharura in case.

unaposema daftar la kawaida ujue pamoja na waliojiandikisha kwny bvr wanaweza wakarudiwa ikawa mtu mmoja ajiandikishe hata mara nne na ndo hapo watanzania watakapo shindwa kukubaliana na matokeo ya uchaguz mkuu ije kuwa balaa!
 

futurestar

JF-Expert Member
Oct 15, 2014
246
225
Tukubaliane tu na hali halisi.
Zoezi ni lazima litapita tu kwenye huo mtaa.
Lkn waliopanga hayo ni viongoz na sio wamekurupuka tu huenda wameona wingi wa watu kwa maeneo walioanza nayo.
 

Abunuas

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
8,777
2,000
unaposema daftar la kawaida ujue pamoja na waliojiandikisha kwny bvr wanaweza wakarudiwa ikawa mtu mmoja ajiandikishe hata mara nne na ndo hapo watanzania watakapo shindwa kukubaliana na matokeo ya uchaguz mkuu ije kuwa balaa!
basi acheni kulalama.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom