Oa tu mkuu maana kuoa ni sawa na mchunga ng'ombe, hata ulale mpaka saa 5 asubuhi lakini mwisho wa siku lazima upeleke ng'ombe machungani ili watu wanywe maziwa hivyo hata uchelewe vipi mwisho wa siku ndoa ni lazima
maskini namuhurumia huyo dada maana
mungu kamnyima akili kabisa,siku si nyingi
atajuta kumfahamu huyo jamaa,mpaka damu yako
unaisahau kisa pesa,na nyie wanaume msiangalie uzuri wa mwanamke
siku zote nasema sehemu yenye mvuto kwa mwanamke ni brain hamsikii
laiti ningejua huyo dada anapatikana wapi tungemuendea na mdundiko kama sio mdumange
nimejikuta nimechukia utadhani kaachwa kaka angu khaaaaaa!!
Nadhani ungerudia kusoma mada upya mama!!!
Ni kweli baba lakini kwenye mada yako hujasema sababu zilizomfanya huyu mama akaanza kubadilika na kuanza mahusiano nje ya ndoa!!!
Hebu mkuu Ngalikihinja nipe uzoefu wako, kama ingekuwa ni wewe ungefanya nini....?Lakini wakati huo, ukimwi ulikuwa haufahamiki... sasa huyu mama enzi zile sijui angefanya kitu gani...??? Maana kumpeleka mume mwenza home...mhnn...
Halafu na wewe mwanaume unakubali tu kwenda, ukiuwawa ....!!!
Ngoja nikuambie kitu mama
Nyoka haitaji sababu ya kukung'ata
Kung'ata ni asili yake
Huo ndio ukweli mama!!!!!!!
sasa bestiee hapo umemwona mkosa ni wife sio?? je hujaona kwamba mwanaume mwingine ndiye mkosa zaid aliyeamua kuja kunyang'anya dume jenzie mke?? huyu mwanaume nae ----- tu manake utaaje hadi aje dume jenzio kuondoka na mkeo?? halafu unamtizama tu........ ingalikuwa ni mimilazima angetambua kwamba hata mm ni mwanaume wallah! manake angetoka jasho kidogo kuniwin
Kweli tupu hii mkuu!!!!!!!!!!!!!