Hawa ndo wanawake bana!


sasa bestiee hapo umemwona mkosa ni wife sio?? je hujaona kwamba mwanaume mwingine ndiye mkosa zaid aliyeamua kuja kunyang'anya dume jenzie mke?? huyu mwanaume nae ----- tu manake utaaje hadi aje dume jenzio kuondoka na mkeo?? halafu unamtizama tu........ ingalikuwa ni mimilazima angetambua kwamba hata mm ni mwanaume wallah! manake angetoka jasho kidogo kuniwin
 
gfsonwin, kuna wakati busara ya asili inahitajika.... Ni kweli, unaweza ukafanya tukio hapo, halafu mkaishia kuuwana na watoto wakabaki yatima wa kupata taabu milele. Afterall, uanaume wangu haupimwi kwa kumzuia huyo njemba bali uwezo wangu wa kuhudumia familia yangu... KUNA WATU HAPA DUNIANI, IDADI YA MAGEREZA WALIYOFUNGWA, KWAO NDO KIPIMO CHA UANAUME/UANAMKE WA SHOKA.... Utawasiki,.... nani, mimi... nishalala keko, segerea, Kitai ... Yaani hapa nimebakiza guntanamo tu....
 

Mkuu si kweli kabisa

Unashibaje halafu upate hamu ya kula?

Sidhani!!!!!!
 
Mkuu si kweli kabisa

Unashibaje halafu upate hamu ya kula?

Sidhani!!!!!!

Kwani mkuu lile ni tumbo useme ukila zaidi utatapika
Fikiria zaidi na zaidi
Mbwa mwitu akitoka kula nyama huwa anapangusa mdomo wake asije akaonekana amekula nyama wenzake watamtafuna na yeye na hao ni wale ambao wakitoka kula cha nyumbani akiona kipya tuu anapangusa mdomo wake na anaanza upya kama vile hajawahi hata kula chakula siku hiyo
 

I doubt this!

Huwezi kuonesha uanaume kwa kushindana na mwanaume mwenzako kuhusiana na mtu mwingine

Ukweli unabaki kuwa mume alitumia busara

Huyo mwanamke ndo ----

Na mume anaemhusu ni mwanamke na sio hawara

Na muamuzi wa nani aivue pichu yake ni yeye mwanamke

Sasa utagombaniaje kuvua pichu ya mtu mwinine wakati mwenye pichu ameshaamua nani amvue

NI KUPOTEZA MUDA KUGOMBANA KUHUSU HAYA!!!!!!!!!
 

Mimi NAMLOGA huyo kaka! weeh!
 

Ngono inaendana na mhemko wa mwili

Kama haupo huwezi kufanya lolote

Na mwenye kazi ya kuuondoa ni mkeo

Ukishindwa kuuondoa lazima utakusumbua tu!!!!!!!
 
na sijasema uupime uanaume kwa huyo hawara wa mkeo. ila upime uanaume wako kwa mkeo.
kwanza asiondoke kwako kairahisi rahisi ingawa unajua kwamba anaondoka lkn lazima umwonyesha kwamba you are more than a man na sio kwa kumpiga muda ambao wewe unazungumza ni muda ambao ungekuwa umeshamset polis apelekwe jela kwa kosa la kutelekeza familia na watoto tena unafile kesi ambayo atahonga mtaji wote uishie hapo na akis=cjheza hata hilo buzi linaingia selo.

mjini mipango na hasa ukijua kuisuka, chezeya watu wewe............. kuna mafundi wa kusuka mipango hadi mtu anaomba pooo dawa ya jeuri ni kiburi kwangu mie lazima alipe gharama interms of kind kwani nini bana??
cc Eiyer
 
Last edited by a moderator:

tangu hio ofisi ilipofunguliwa hadi leo haijatimiza miaka 3 achilia mbali mi4.....
 

Sitafanya hii kitu asilani

Nipoteze muda kupinga namna mtu anavyotaka kuutumia mwili wake????

Hell NO!!!!!!!!

Uanaume wangu nitakaomuonesha ni kumlea mwanangu kwa malezi sahihi huku nikiendelea na maisha yangu kwa amani kubwa

Ukipiga kelele na wendawazimu wote matonekana wendawazimu tu

Kitendo cha kupelekana police ni kuonesha namna ulivyo dhaifu kwenye suala zima la maisha na mahusiano

Kwani yeye ni nani?

Kwani maisha hayaendi bila yeye?

Hjaitelekeza familia kwakuwa yule pia ni mwanangu mpenzi

Ninaweza kumlea vyema bila msaada wake

Yeye atembee na Yuda tu

Kwan nini??????????????
 
Damu ya Yesu iwafunike wote wenye tabia ya huyu mama. Ila ninachojua hakuna linalomshinda Mungu. KisaSi ni Mungu. Endelea kufuatilia lazima huyo mwanamke aje kupiga magoti kwa mumewe. Naomba sana kama utaendelea kupata habari za huyo mwaume aliyebwagwa kwa mbwembwe hizo basi nifahamishe. Huyo mama atarudi tu!
 

I wish that too!!!!!!!!!!!!!
 
na bado kuna watu wananishauri nioe.

Oa tu mkuu maana kuoa ni sawa na mchunga ng'ombe, hata ulale mpaka saa 5 asubuhi lakini mwisho wa siku lazima upeleke ng'ombe machungani ili watu wanywe maziwa hivyo hata uchelewe vipi mwisho wa siku ndoa ni lazima
 
Dah......hii thread inanifanya niwaze shimo gani limetema hapa juzi juzi........au hii story ni ya muda gani......?....ili tujue waliopata mawe siku hizo.........
 
Yaan sisi wanadamu tuna viloja kweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…