Hawa ndo wanaume wachepukaji

Hawa ndo wanaume wachepukaji

Angaria Bhana Habari Zingine Sio Poa Wezio Watadhani Kweli Ukaja Haribu Ndoa Za Watu Ooh Shauri Yako
 
Hapo kwenye umakiziaji sasa [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Dunia hii hakuna uaminifu, unajifanya kutembea na mke wako mtaani mmeshikana mikono halafu usikute kuna wahuni wanamchimba, wanabaki kukuchora tu.

Mapenzi ya kujionyesha kwa watu ni ulimbukeni na huwa hayadumu sana, mfano mzuri ni hawa wasanii wetu wala tusikwende mbali sana. Kikubwa kila mtu atimize wajibu wake kwenye familia.

Hayo mambo ya kushikana mikono wachumba ndiyo wayafanye mimi kwa upande wangu hapana. Ni hivyo tu yani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom