Hata wenye mwanamke mmoja wanafanya yote hayo dada1,Kuambatana na mpenzi au mke mitaani hasa muda wa mchana na huku wameshikana mikono. Na sisi wanawake tunapenda mapenzi ya hadharani,mshikane mikono ili mwanamke aonekane yeye ndo anapendwa mbele ya jamii
2,Kwenda na mke au mpenzi kwenye kumbi za starehe,ni wachache sana,kati ya 10 ni wawili hukubali kuambatana na wapenzi wao kwenye hizo kumbi mara kwa mara,wengine kama amejitahidi sana ni mara mbili kwa mwaka,ile yeye mwenyewe kila weekend bar,casino
3,Kuweka picha ya mpenzi au ya mke wake kwenye dip kwenye mitandao ya kijamii,kama anakuweka anakuweka kwa wiki moja au siku mbili halafu anaitoa ,ila ya mtoto anaweza akaiweka mwaka mzima,ili akiulizwa una mke ajibu sina ila nina mtoto
4,Hawezi kuweka picha ya mke au mpenzi kwenye wallpaper sim yake, kuna siku nilimuona mkaka ameweka wallpaper picha ya mwanamke tulikuwa tumekaa sit moja kwenye daladala ghafla akaiondoa na Mimi nilkuwa nimeishaiona kitambo,hahahahhah,basi akawa anataka kuniongelesha bahati mbaya nikashuka
5,Sim inakuwa silence,huwezi ukajua kama meseji imeingia au amepigiwa sim,unaweza ukajiuliza huyu mwanaume hana mtu ambaye anampigia sim kumbe ameiweka silence
6,Wanajifanya wako bize na mambo mengine tofauti na mapenzi
7,Safari za mikoani ni nyingi kuliko maelezo,utasikia keshokutwa naenda kigoma,mtwara,Arusha,Moshi,wiki hii naenda mwanza kumuona rafiki tuliosoma naye ana michongo
Nilichowavulia kofia wanaume wanaweza kubalance mapenzi kwa wanawake zaid ya watatu na usijue,
Wanaume roho zao wanazijua wenyewe
Walikuwa wanaonyesha hadharani,na walikuwa wababe kwa wake zao,na mwanamke ukijua huwezi kuhojiHapi zamani hapakua na wachepukaji? Maana haya 93% unaongelea mambo yanayoendana na teknolojia ya sasa?
Katika miaka ya 1980's kurudi nyuma wachepukaji walikia na tabia gani?
1,Hawapendi kuambatana na mpenzi au mke mitaani hasa muda wa mchana na huku wameshikana mikono. Na sisi wanawake tunapenda mapenzi ya hadharani,mshikane mikono ili mwanamke aonekane yeye ndo anapendwa mbele ya jamii
2,Kwenda na mke au mpenzi kwenye kumbi za starehe,ni wachache sana,kati ya 10 ni wawili hukubali kuambatana na wapenzi wao kwenye hizo kumbi mara kwa mara,wengine kama amejitahidi sana ni mara mbili kwa mwaka,ile yeye mwenyewe kila weekend bar,casino
3,Kuweka picha ya mpenzi au ya mke wake kwenye dip kwenye mitandao ya kijamii,kama anakuweka anakuweka kwa wiki moja au siku mbili halafu anaitoa ,ila ya mtoto anaweza akaiweka mwaka mzima,ili akiulizwa una mke ajibu sina ila nina mtoto
4,Hawezi kuweka picha ya mke au mpenzi kwenye wallpaper sim yake, kuna siku nilimuona mkaka ameweka wallpaper picha ya mwanamke tulikuwa tumekaa sit moja kwenye daladala ghafla akaiondoa na Mimi nilkuwa nimeishaiona kitambo,hahahahhah,basi akawa anataka kuniongelesha bahati mbaya nikashuka
5,Sim inakuwa silence,huwezi ukajua kama meseji imeingia au amepigiwa sim,unaweza ukajiuliza huyu mwanaume hana mtu ambaye anampigia sim kumbe ameiweka silence
6,Wanajifanya wako bize na mambo mengine tofauti na mapenzi
7,Safari za mikoani ni nyingi kuliko maelezo,utasikia keshokutwa naenda kigoma,mtwara,Arusha,Moshi,wiki hii naenda mwanza kumuona rafiki tuliosoma naye ana michongo
Nilichowavulia kofia wanaume wanaweza kubalance mapenzi kwa wanawake zaid ya watatu na usijue,
Wanaume roho zao wanazijua wenyewe
Hata tangu enzi za mababu, wanaume walikuwa wanaoa wanawake wengi, na wanawake huwa mnajijua kuwa mume wako siyo wako peke yako. Hafu hii ni awamu ya tano inachagizwa na usemi 'Fyatueni watoto kwa wingi' sasa huwezi kufyatua kwa mke 1 tu.1,Hawapendi kuambatana na mpenzi au mke mitaani hasa muda wa mchana na huku wameshikana mikono. Na sisi wanawake tunapenda mapenzi ya hadharani,mshikane mikono ili mwanamke aonekane yeye ndo anapendwa mbele ya jamii
2,Kwenda na mke au mpenzi kwenye kumbi za starehe,ni wachache sana,kati ya 10 ni wawili hukubali kuambatana na wapenzi wao kwenye hizo kumbi mara kwa mara,wengine kama amejitahidi sana ni mara mbili kwa mwaka,ile yeye mwenyewe kila weekend bar,casino
3,Kuweka picha ya mpenzi au ya mke wake kwenye dip kwenye mitandao ya kijamii,kama anakuweka anakuweka kwa wiki moja au siku mbili halafu anaitoa ,ila ya mtoto anaweza akaiweka mwaka mzima,ili akiulizwa una mke ajibu sina ila nina mtoto
4,Hawezi kuweka picha ya mke au mpenzi kwenye wallpaper sim yake, kuna siku nilimuona mkaka ameweka wallpaper picha ya mwanamke tulikuwa tumekaa sit moja kwenye daladala ghafla akaiondoa na Mimi nilkuwa nimeishaiona kitambo,hahahahhah,basi akawa anataka kuniongelesha bahati mbaya nikashuka
5,Sim inakuwa silence,huwezi ukajua kama meseji imeingia au amepigiwa sim,unaweza ukajiuliza huyu mwanaume hana mtu ambaye anampigia sim kumbe ameiweka silence
6,Wanajifanya wako bize na mambo mengine tofauti na mapenzi
7,Safari za mikoani ni nyingi kuliko maelezo,utasikia keshokutwa naenda kigoma,mtwara,Arusha,Moshi,wiki hii naenda mwanza kumuona rafiki tuliosoma naye ana michongo
Nilichowavulia kofia wanaume wanaweza kubalance mapenzi kwa wanawake zaid ya watatu na usijue,
Wanaume roho zao wanazijua wenyewe
Tena wazee wa zamani ndo walikuwa wababe kupitiliza huwezi ukaona anaongozana na mke wake, Ila wanawake wa kizazi cha sasa hata bar anataka mwende nae sasa unajiuliza atapika saa ngapi? Je watoto atamwachia nani?Hapi zamani hapakua na wachepukaji? Maana haya 93% unaongelea mambo yanayoendana na teknolojia ya sasa?
Katika miaka ya 1980's kurudi nyuma wachepukaji walikia na tabia gani?
Na wanawake roho zenu mnazijua wenyewe.... HII HAO WANAUME WANAOCHEPUKA, WANACHEPUKA NA WANAUME WENZAO..???1,Hawapendi kuambatana na mpenzi au mke mitaani hasa muda wa mchana na huku wameshikana mikono. Na sisi wanawake tunapenda mapenzi ya hadharani,mshikane mikono ili mwanamke aonekane yeye ndo anapendwa mbele ya jamii