Hawa ndo wachaga bhanaa

mhn!tehe...teh... kama kuna kaukweli fulani hivi!
 
Wanashikana mikono kuonyesha mshikamano na umoja, sidhani kama hiyo maana yenu mliyotunga ina mashiko au ni utani tu..

Ngoja waje watujuze!
 
Wachaga wagumu kwenye pesa hadi maneno pia, utasikia mchaga anakwambia 'jana tulikwenda Ubu...,' anataka wewe msikilizaji umalizie Ubungo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Jamaa wanabania hadi maneno..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…