Hawa ndo Mtaji mkuu kabisa wa CCM

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,491
8,714
Umasikini ndo mtaji namba 1 wa CCM, yaaani CCM inasali usiju na mchana watu kama hawa wasiondoke
FB_IMG_1599150687053.jpeg
FB_IMG_1599150682564.jpeg
FB_IMG_1599150693003.jpeg
 
Kwahiyo upinzani ukichukua nchi watanzania wote watakuwa matajiri?
Kenya,Zambia,Malawi,Ghambia,Ivory Cost n.k kwenye hizo nchi wapinzani wamechukua,umasikini umeisha ama bado upo?
 
Back
Top Bottom