Vipi kuhusu makombe kwenye nchi yake?sijamuona messi humu. huwez kutaja mastaa wa dunia bila kuanza na messi. messi ndo mchezaji soccer namba moja kupata kutokea duniani. ushahidi ni kwamba kachukua tuzo za mchezaji bora wa dunia mara 5. huku akichukua mara 3 mfululizo.
uchezaji bora unapimwa katika makombe ya inch yake au ni self performance ya mchezaji mwenyewe?? ndo maana kapewa uchezaji bora mara 5 hata bila kuchukua kombe lolote na timu ya taifa lake.Vipi kuhusu makombe kwenye nchi yake?