Hawa ndo mamastaminder wa dunia alowasema Gwajima

Hawa ndo mamastaminder wa dunia alowasema Gwajima

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,189
Reaction score
24,613
Pichani hao ndo mamaster minder alowasema Gwajima kama ulikua ujui hujui hapa kuna watu watasema ni consipiracy theory lakini mimi mwenyewe niliamini hivyo lakini sasa hivi kila kitu kinajidhihirisha wazi kwamba dunia inacontroliwa na kikundi cha wahuni fulani

Na nikukumbushe tu sio mara ya kwanza kwa kikundi fulani cha watu au mtu kutawala dunia yote waliwahi kuwepo refer kina Alexander de great,Adolf hitler na wengineo wengi, nimrodi etc...

Tupeane elimu kidogo: Mark Zu mmiliki wa facebook, na mitandao mingine ni mjukuu wa David Rockefeller
FB_IMG_16312050901245619.jpg
FB_IMG_16312627485016649.jpg
FB_IMG_16312627199807821.jpg
FB_IMG_16312626929090128.jpg
FB_IMG_16312626828787590.jpg
FB_IMG_16312626511491649.jpg
FB_IMG_16312622684750645.jpg
FB_IMG_16312621764558350.jpg
BeautyPlus_20210910111232621_org.jpg
JamiiForums-231737727.jpg

Screenshot_20210910-112351.jpg

BeautyPlus_20210910111232621_org.jpg
 
"We own and run the fed, we are your ERNEMY".
Haya maneno wameyasemema wao ama umeyapachika tu ili kuvuta hadhila na attention ya wasomaji?.
Halafu:, Shida iko wapi Hao jamaa kutawala Dunia?
Mbona ccm na Gwajima wapo tayali kuhonga, kuiba kura na kuua ili watawale ila wengine wakitawala ni Nongwa?.

Gwajima aache USHAMBA wa kipumbavu.
 
Tulia wewe hujui usemalo
 
Kuna siku mtakuja kujua lakin mtakua mmechelewa
 
"We own and run the fed, we are your ERNEMY".
Haya maneno wameyasemema wao ama umeyapachika tu ili kuvuta hadhila na attention ya wasomaji?.
Halafu:, Shida iko wapi Hao jamaa kutawala Dunia?
Mbona ccm na Gwajima wapo tayali kuhonga, kuiba kura na kuua ili watawale ila wengine wakitawala ni Nongwa?.

Gwajima aache USHAMBA wa kipumbavu.

Gwajima anahusikaje mkuu
 
Kwamba Gwajima ndo anashidana nao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au hajui kuwa nae yupo kwenye Matrix ya hawa jamaa.
Wakitaka huyo gwajiboy ni siku 2 tu hayupo Duniani.
Kwani wao ni Mungu?wao hawafi?
 
Back
Top Bottom