Hawa ndo mamastaminder wa dunia alowasema Gwajima

Pichani hao ndo mamaster minder alowasema Gwajima kama ulikua ujui hujui hapa kuna watu watasema ni consipiracy theory lakini mimi mwenyewe niliamini hivyo lakini sasa hivi kila kitu kinajidhihirisha wazi kwamba dunia inacontroliwa na kikundi cha wahuni fulani

Na nikukumbushe tu sio mara ya kwanza kwa kikundi fulani cha watu au mtu kutawala dunia yote waliwahi kuwepo refer kina Alexander de great,Adolf hitler na wengineo wengi, nimrodi etc...

Tupeane elimu kidogo: Mark Zu mmiliki wa facebook, na mitandao mingine ni mjukuu wa David Rockefeller
View attachment 1931807View attachment 1931810View attachment 1931811View attachment 1931812View attachment 1931813View attachment 1931814View attachment 1931815View attachment 1931816View attachment 1931817View attachment 1931818

View attachment 1931806

View attachment 1931819
Utabezwa, utasemwa na hata kutukanwa lakini HUU NDIO UKWELI.
Dunia haijui nini kinachoendelea.
Dunia imeshadanganywa hadi inadhani kuwa maskini ni suala la kawaida tu.
Si muda mrefu hata kutumia maji tu ya kunywa na kuoga itabidi upewe ruhusa.
Dunia imelala usingizi fo fo fo.
 
Naona wazungu wa Magharibi watupu sioni Mchina, Mjapan, Mwajabu, African, Asians haiwezekani kikundi cha watu wachache kikaongoza Dunia
 
Utabezwa, utasemwa na hata kutukanwa lakini HUU NDIO UKWELI.
Dunia haijui nini kinachoendelea.
Dunia imeshadanganywa hadi inadhani kuwa maskini ni suala la kawaida tu.
Si muda mrefu hata kutumia maji tu ya kunywa na kuoga itabidi upewe ruhusa.
Dunia imelala usingizi fo fo fo.
Kabisa mkuu
 
Mkuu nawezaje kupata mbususu wa kuoa kutoka kwenye hao madume wanaoitawala Dunia
 
Akili mbili izi yani wewe furaha yako maishani ni gwajima kuwa mpumbavu;
Ni wapi nimemtaka Gwajima awe mpumbavu? Mimi ni nani hata Nitake nani awe mpumbavu na Nani awe Mwerevu?.
Ufikilio wako uko sawa kweli Chief ama frustration za tozo zinakuchanganya?😂😂
Mimi Sina uwezo huo, uwezo nilio nao ni KUUTAMBUA upumbavu katika rangi yoyote ile.
 
List bila mamlaka ya upapa haina maana, yeye ndie boss wao
 
Pichani hao ndo mamaster minder alowasema Gwajima kama ulikua ujui hujui hapa kuna watu watasema ni consipiracy theory lakini mimi mwenyewe niliamini hivyo lakini sasa hivi kila kitu kinajidhihirisha wazi kwamba dunia inacontroliwa na kikundi cha wahuni fulani

Na nikukumbushe tu sio mara ya kwanza kwa kikundi fulani cha watu au mtu kutawala dunia yote waliwahi kuwepo refer kina Alexander de great,Adolf hitler na wengineo wengi, nimrodi etc...

Tupeane elimu kidogo: Mark Zu mmiliki wa facebook, na mitandao mingine ni mjukuu wa David Rockefeller
View attachment 1931807View attachment 1931810View attachment 1931811View attachment 1931812View attachment 1931813View attachment 1931814View attachment 1931815View attachment 1931816View attachment 1931817View attachment 1931818

View attachment 1931806

View attachment 1931819
MBN MAREHEM KARIBIA WOTE SASA IMEKUWAAJE
 
Hahahaha Gwajiboy ndio anagundua Leo na kuwajua hao jamaa
Mbaka anakuja kuwapiga Kamba Leo wakati hayo mambo yana Karne nyingi Sana na ni kawaida tu!

Nyie Leo ndio mnataka kuwapiga kondoo Kwa story hizo za kizamani
Hahaaaaha ama kweli ushamba mzigo!
 
Ni wapi nimemtaka Gwajima awe mpumbavu? Mimi ni nani hata Nitake nani awe mpumbavu na Nani awe Mwerevu?.
Ufikilio wako uko sawa kweli Chief ama frustration za tozo zinakuchanganya?[emoji23][emoji23]
Mimi Sina uwezo huo, uwezo nilio nao ni KUUTAMBUA upumbavu katika rangi yoyote ile.

unaweza kuusema ushamba na upumbavu wa gwajima kwa faida ya sisi tusioweza kutambua rangi za upumbavu,
 
Pichani hao ndo mamaster minder alowasema Gwajima kama ulikua ujui hujui hapa kuna watu watasema ni consipiracy theory lakini mimi mwenyewe niliamini hivyo lakini sasa hivi kila kitu kinajidhihirisha wazi kwamba dunia inacontroliwa na kikundi cha wahuni fulani

Na nikukumbushe tu sio mara ya kwanza kwa kikundi fulani cha watu au mtu kutawala dunia yote waliwahi kuwepo refer kina Alexander de great,Adolf hitler na wengineo wengi, nimrodi etc...

Tupeane elimu kidogo: Mark Zu mmiliki wa facebook, na mitandao mingine ni mjukuu wa David Rockefeller
View attachment 1931807View attachment 1931810View attachment 1931811View attachment 1931812View attachment 1931813View attachment 1931814View attachment 1931815View attachment 1931816View attachment 1931817View attachment 1931818

View attachment 1931806

View attachment 1931819
A bunch of bullshit ...
 
Back
Top Bottom