Desierto JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 847 Reaction score 2,954 Dec 21, 2025 #1 1. Wazee Raisi kakutana na wazee tu 2.pikipiki Zinaua na kuacha vilema vya maisha 3.polisi Kesi za uhaini pale kisutu sikuona mzee 4.CCM Bunge lote ni la CCM ila wamejaa wazee wote Vijana hao ndo maadui zetu wakuu.
1. Wazee Raisi kakutana na wazee tu 2.pikipiki Zinaua na kuacha vilema vya maisha 3.polisi Kesi za uhaini pale kisutu sikuona mzee 4.CCM Bunge lote ni la CCM ila wamejaa wazee wote Vijana hao ndo maadui zetu wakuu.
M Mtemi Mbojo JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 2,000 Reaction score 3,328 Dec 21, 2025 #2 Bila kusahau HOFU na kukosekana kwa UMOJA miongoni mwao
K KARLO MWILAPWA JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 3,117 Reaction score 5,321 Dec 21, 2025 #3 Hapo ukiambiwa hueleweki utaanza tantalila kibao
VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 8,145 Reaction score 12,746 Dec 21, 2025 #4 KARLO MWILAPWA said: Hapo ukiambiwa hueleweki utaanza tantalila kibao Click to expand... Wazee wamejaa Wizara ya Vijana kufanya nini?
KARLO MWILAPWA said: Hapo ukiambiwa hueleweki utaanza tantalila kibao Click to expand... Wazee wamejaa Wizara ya Vijana kufanya nini?
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,202 Reaction score 25,377 Dec 21, 2025 #5 Kuna kundi kubwa umelisahau... 5. Vijana wanao ogopa kudai maslahi ya nchi kwa ujumla. Hao ndiyo sumu, wanasahau nguvu yao ndiyo inaleta ukombozi popote.
Kuna kundi kubwa umelisahau... 5. Vijana wanao ogopa kudai maslahi ya nchi kwa ujumla. Hao ndiyo sumu, wanasahau nguvu yao ndiyo inaleta ukombozi popote.
Bungurere JF-Expert Member Joined Jan 24, 2023 Posts 369 Reaction score 432 Dec 21, 2025 #6 Rushwa na Usaliti