Ni usalama/mpelelezi au ni jobless tu kama wengineRas inno
Una hoja nzuri ila uwakilishaji umekuwa mbayaHivi huyu ni nani wanajamvi
Yupo kwenye matukio mengi kuna saa ana appear kama mwanachama wa ysc
Mara yuko na hayati, mara kwenye wamasai kule ubalozi ya kenya , pia watu wanasema masai hawezi andika hivo..huyu ni serikali hata ngorongoro hapajui
Na kwanini anajiachia hadi tunamjua au yeye anahisi picha zake hazipo
View attachment 2276294View attachment 2276298
Hivi huyu ni nani wanajamvi
Yupo kwenye matukio mengi kuna saa ana appear kama mwanachama wa ysc...
Kuna mmoja jinga kabisa alikuwa anakuja cheza draft sehemu hadi usiku ..wakamshutukia ..siku moja naongea kuhusu uchaguzi fundi nguo akanambia vunga kuna mtu hapa hatumuelewi asije sepa na wewe ..wale akili zao hamna kitu kabisa ..hahaha naona ndugu yangu una unlock code ya black eagle..sasa sjui tumapngie kazi gani maana mmeshamdisclose undercover eagle...
Ngoja nikasome hukoCamouflagers na informers
KISWAHILI ni wazugaji na wafichua habari Ni watu maalum lakini wa kila jinsia umri na kaliba... Kati yao wapo mpaka wezi matapeli, wakabaji na wachawi.. Lakini kila walipo wapo kwa lengo maalum.... Kutoa taarifa ambazo zitasaidia kubaini waovu na kuzuia hatari ama kulinda usalama wa nchi raia...www.jamiiforums.com
hahaahaKuna mmoja jinga kabisa alikuwa anakuja cheza draft sehemu hadi usiku ..wakamshutukia ..siku moja naongea kuhusu uchaguzi fundi nguo akanambia vunga kuna mtu hapa hatumuelewi asije sepa na wewe...