Rais2020
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 3,248
- 5,537
Kuna makundi makubwa ndani ya CCM yanayoendelea kujiimarisha ili kuweka ngome kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2020 kama Magufuli atakomea awamu Moja tu ya vipindi vitano au 2025 baada ya Magufuli kumaliza awamu yake kama lakini akishinda uchaguzi mkuu 2020.
.
Hawa watu watatu hawana furaha kabisa katika awamu hii ya tano kama walivotegemea kuwa baada tu ya uchaguzi. Wakati hawa watu watatu wakijiandaa vizuri na ngome zao,huenda kukatokea mvurugano na fukuza fukuza ndani ya chama hicho. Fukuza fukuza hii itakuwa faida kuu kwa Chadema kushika Dola mwaka 2020. Ni wakati sasa chadema kujipanga na kujiweka tayari kuchukua nchi maana tayari CCM imejimaliza na inaendelea kujimaliza yenyewe. Kamanda mbowe panga safu ya uongozi wako vizuri ili kujiandaa kukabidhiwa nchi 2020. Wananchi 86% wanaunga mkono chadema,hawataki kabisa kusikia kuhusu mambo ya JPM.
Nape Nauye,January Makamba na Mwigulu Nchemba alimaarifu kama madelu ndiyo catalyst ya kuvunjika kwa CCM 2020?.
Rais2020.
Usirudie kosa 2020.
Rais wa wanyonge