Hawa ndiyo wagombea wa CCM

Hawa ndiyo wagombea wa CCM

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Tukiwa tunaendelea kushuhudia joto la uchaguzi ndani ya ccm wamejitokeza wagombea wa kila aina ili kuliongoza taifa letu.

Hivi mgombea kama huyu hapo chini mnategemea anaweza kutupeleka wapi kiuongozi?
Screenshot_20200814-085437.jpg
 
Tukiwa tunaendelea kushuhudia joto la uchaguzi ndani ya ccm wamejitokeza wagombea wa kila aina ili kuliongoza taifa letu.

Hivi mgombea kama huyu hapo chini mnategemea anaweza kutupeleka wapi kiuongozi? View attachment 1536706
Sory mkuu kwani ni nani huyo.
Sisi tulioko huku ukwiriri mwana mbaya hatujui nini kinaendelea huko mjini kwenu
 
Huyu mbona kama ni yule jamaa anaimbaimba,kipindi fulani mwenyekiti alimwambia agombee jimbo la tandahimba.
Huyo ni wale wale lkn majina tofauti anaitwa Harmorapa
 
Back
Top Bottom