Wanabodi nawasalimu.Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafakari msemo unaopendwa kurudiwarudiwa na baadhi ya viongozi wa nchi hii wale wanaotokana na chama tawala ambao ni huu "CCM INA WENYEWE, NA WENYEWE NDIO SISI (WAO) NA TUNA WANACHAMA KIBAO" Mwisho wa kunukuu.Ukiuangalia huu msemo kuna tofauti kubwa sana kati ya wenye CCM na wanachama.Wenye CCM yao watoto wao hawasomi shule za kata,wanatembelea magari ya kifahari,Wake zao wakiugua kidogo wanapelekwa nje ya nchi kutibiwa na wala hawavai kapelo,tshirt wala kanga zilizoandikwa maisha bora kwa kila mtanzania.Hawa ni baadhi ya wenye CCM wengine utaongezea mwenyewe kimtizamo na wanamiliki CCM kwa kurithishana kama ifuatavyo:-
Moses Nauye Vs Nape Nauye
Kigoma MALIMA Vs Adam Malima
Yusuph Makamba Vs January Makamba
Cleopa David Msuya Vs Matayo David Matayo
S.Sita vs Magret Sita
R.Kawawa Vs VICK KAWAWA
A.H.MWINYI VS Husein Mwinyi.
Job Lusinde VS lusinde.
Kwa mtazamo wangu hawa ni baadhi tu wengine Jazia mwenyewe.

Alitaka kumaanisha Vita KawawaHapo kwenye nyekundu, hakuna mtu kama huyo....
Alitaka kumaanisha Vita Kawawa
umekosea Mzee Balozi Lusinde na huyu Lusinde Mitusi hawana undugu wowote ule na Balozi yeye watoto wake wanfanay kazi hawajui what is politics huyu mzee hana uroho ni mwadilifu ni rafiki yake sana Nyerere na mara kwa mara anawachana live ccm kwamba wamepoteza dira. Ila list nyingiine kweli ccm ina wenyewe babuuu
Ni Vick au Vita Kawawa?
Wengine ni:
Kikwete vs usultani (Salma, Ridhiwani, Hawa Ghasia nk)
Malecela vs Kilango, William, na yule dada yao
Karume vs Karumes
Msekwa vs Ana Abdala,
Acha uwongo Mkuu. Hao ni ndugu.
Kumbuka Livingstone na Samwel Malecela ni mtu na babake mdogo.
Samwel Malecela na Job Lusinde ni ndugu (usiniulize kwanini majina hayafananii)
Mimi ni mwana familia, L. Lusinde sio mwanafamilia kabisa ila majina yamefanana na job lusinde
umekosea Mzee Balozi Lusinde na huyu Lusinde Mitusi hawana undugu wowote ule na Balozi yeye watoto wake wanfanay kazi hawajui what is politics huyu mzee hana uroho ni mwadilifu ni rafiki yake sana Nyerere na mara kwa mara anawachana live ccm kwamba wamepoteza dira. Ila list nyingiine kweli ccm ina wenyewe babuuu
Acha uwongo Mkuu. Hao ni ndugu.
Kumbuka Livingstone na Samwel Malecela ni mtu na babake mdogo.
Samwel Malecela na Job Lusinde ni ndugu (usiniulize kwanini majina hayafananii)
Nchimbi Bs Nchimbi
lakini hata.cdm kuna hawa
Mtei vs mbowe
Ndesamburo Vs Lucy
Tindu Lissu vs dada yake
Slaaa vs mrs Slaaa
endelea
Alitaka kumaanisha Vita Kawawa