Hawa ndio watakao faa kutuongoza 2030.

Hawa ndio watakao faa kutuongoza 2030.

Ni kagombee nini tena?Ni kwamba mtu kaweka list yake nilichokifanya nikuondao ambaye kwangu sio sahihi.Makonda kama ni chaguo lako.It's up to you man.Siwezi gombea chochote lakini bwana mdogo huyo ni mpumbavu, ni mzuri tu kukiwa na vyombo vya habari mpate nyuma ya pazia utajua dogo ana ushetani mwingi
Lakini watz waliowengi wanampenda sasa wewe kapuku tu huna lolote la maana endelea na roho yako ya kipumbavu mpaka ufe kabisa.
 
Kweli kodi ninayolipa serikalini ni mshahara wa askari watatu level ya koplo ambao kwenu ni ndoto ya ukoo wenu
 
Kwa maoni yangu hawa hapa ndio watu wenye uzalendo wakuiongoza nchi hii 2030,

1, Mimi mwenyewe hapa Liwagu.
Kwajinsi mambo yanavyo kwenda ninaona kabisa ninauwezo wa kuiongoza hii nchi na tukapiga hatuja kubwa sana kimaendeleo baada ya miakami 5 tu.

Mwaka wakwanza nitahakisha ninabadili katiba Ili viongozi wote waserikali pamoja na mimi mwenyewe ninawajibika kwa wananchi na niwe naweza kuchukuliwa hatua za kisheria kama nitakuwa nimefanya makosa katika uongozi wangu.
Hii nikwasababu nitataka kuona kauli ya hakuna alie juu ya sheria inafanya kazi kwa vitendo.

Baada ya katiba, mengine yote yatakuwa rahisi sana kutekelezeka kama uwajibikaji utakuwa ndio wimbo wa taifa.
Hatuitaji rocket science, facilitations gears zote tunazo, tunahitaji dhamira ya dhati tu.

Wengine hapa [emoji116]
2,Kasim Majaliwa
3,John Heche
4,Dotto Biteko
5 J, Gwajima
6, Mpina Ramadan.
7, Paul Makonda
8, G, Lema
9, J, Nchimbi
10, T, Lisu.

Naweza kubeti mmoja kati ya hao anaweza kuwa kiongozi bora sana ingawa sijui kama wanaweza kubadii katiba Ili iwawajibishe nawao kama mimi.
Ukweli ni kwamba hakuna hata mmoja anayefaa kuifikisha Tanzania pale inapotakiwa na tena kama kuna watanzania wanafikiri kuwa akina Majaliwa, Gwajima, Makonda wanafaa, basi ujue tuna kazi kubwa.
 
Na mwanao aidha atakuwa mfungua geti au mtunza bustani wa mmoja wao!😡😡😡😡
 
Ukweli ni kwamba hakuna hata mmoja anayefaa kuifikisha Tanzania pale inapotakiwa na tena kama kuna watanzania wanafikiri kuwa akina Majaliwa, Gwajima, Makonda wanafaa, basi ujue tuna kazi kubwa.
Fanya double check,ruhusu ukweli katika moyowako utaelewa kwanini nimewataja hapo.
 
Kweli sasa watu hamuna !
[emoji28][emoji28]
Yeyote tu ? Hata wa Kolomije. [emoji1787][emoji1787]
Nimekataa kuwa mnafiki na mfuata mkumbo, nimemchunguza nikaona anaweza kufanyakitu.

There's no "clear proof" kwa watu wanao mlaumu huyo jamaa.

Wengi hutoa lawama za jumla jumla bila ufafanuzi.

Naamini wananchi wengi wanamuelewa pia,tukiwa wakweli tutaiponya nchi.
 
We msenge kweli kodi ninayolipa serikalini ni mshahara wa askari watatu level ya koplo ambao kwenu ni ndoto ya ukoo wenu
Pole mkuu, naona ulichokozwa kwa lugha ngumu, next time majibu yako yawe mazuri kwa mchokozi Ili kuonyesha makosayake.
 
Hamna man kawaida ukija kibabe tunaenda hivyo siku hizi hakuna kumwachia Mungu lakini kawaida tu
 
Back
Top Bottom