Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,441
- 5,744
Hayo mambo ya buku tatu na buku saba huoni kama ni utoto fulani?. Nategemea wewe mpaka umejiunga humu tayari umeshafikia umri wa kupiga kura. Stop being silly.
Huwezi kumpangia mwanasiasa sehemu gani na wakati gani apige picha.Nini kupiga kura na kuongeza dunia achana na kupiga kura za wizi zisizo na uhalisia kabisa na kuiongeza dunia pia nimefikia... Wewe ndio hutaki kuelewa
Umeamua kuiweka hadharani a.k.a yako ya tangu utotoni.Juha
Siyo huko tuu mkuu, almost Dar yote ...
Nenda pale ferry kigamboni yaan kumejaa watu wanapanga vitu chini, nenda Gongo la mboto, nenda mbagala
Kimsingi RC wetu kuna changamoto nyingi anapaswa kudeal nazo
Sio wakubwa tuu, mpaka wanakuwa mawaziriMkuu huyu makonda hajui kitu, kuna malaya wanasomesha watoto mpaka wanakuwa watu wakubwa
Hao wote wapo kwenye mfereji mmoja wa akili takaUmemsahau Yule Walu Walu RC wa Mbeya
Wasukuma huwa tunasema "nzela yahobiwa ndongeji" yaani mwongozaji ndo kakosea njia.
Kwahiyo unategemea nini kwa wanaomfuata kama vichwa ndo hivi vya 0. 0.
Hii umeitoa wapi mkuu. Na Uganda je, yenye maji karibu kila sehemu isipokuwa Karamajong pekee?Na Tanzania ndio inayoongoza kwa kuwa na vyanzo Vingi vya maji East Africa......
La kumbebisha jiwe a.k.a MEKO pia halikuisha1. La Machoko halikuisha
2. La kupima Tezi dume nyumba kwa nyumba halikuisha
3. La Ombaomba jijin halikuisha
4. La Wajane na waliotelekezwa halikuisha
5. La Vijana wasio na ajira halikuisha
6. La Makahaba halikuisha
7. Usafi kila mwisho wa mwezi halikuisha jiji bado chafu
8. La kuoga wanaoenda mjini halijaisha
9. La tinted halikuishaa
10. La madawa ya kulevya halikuisha
11. La walimu kupanda bure daladala halikuisha
12. La kugawa viwanja kwa walimu halikuisha
13. La furniture za ofis za walimu halikuisha
14. La uenyekiti kamati ya harusi ya Majizo na Lemutuz halijaisha
15. La kuonyesha vyeti vya form four halikuisha(aliishia kulia kanisani)
16.
Ee Mungu mtenda miujiza endelea baba kumponya kamanda LissuAmetelekeza daaah!View attachment 1209643
Mkuu huyu makonda hajui kitu, kuna malaya wanasomesha watoto mpaka wanakuwa watu wakubwa