Hawa ndio wasaidizi wa Rais

Huwezi kuwaponda wasaidizi wa rais kwa kigezo cha picha na maoni ambayo hujui kama na wao wanayo au hawana.

Ni rahisi sana kujaribu kujenga hoja nyepesi kwa kutumia picha za mitandaoni, kila mtu anaiweza hiyo kazi. Kuna maisha tofauti kabisa na hayo ya kwenye picha.

Na kibaya ninachokiona ni tabia ya kujitayarisha kupokea matokeo mabaya ya utendaji kazi wa mtu pasipo kuuweka kwanza utendaji wake katika mizania sahihi.
 
Magufuli nitakunyima kura yangu 2020 kwa sababu moja tuu...Makonda!.
Hata kama utashinda kwa % utakazotaka ila kumbukumbu ziwekwe mapeema kwamba mimi sitakuwa miongoni mwa hao!.
 
Hawa vijana waliopewa madaraka kuendelea kuwepo ndio utagundua nini maana halisi ya neno kutoka kwa mzee Makamba na Kinana.
Hawakukurupuka wale!
 
hatutakaa tupate majibu ya matatizo hayo kutoka hao wteuliwa kwa kua ushamba bado unawasumbua licha ya wengine kusomea nje, tunayo majibu ya matatizo yote tena yanatatuliwa kwa gharama nafuu sana ila jiwe anapenda kuimbiwa nyimbo za mapambio
Lini kunguru kucheza na njiwa? Haitatokea! Birds of the same feather fly together. Hao wanaruka! Waziri siku tatu analala analala wanakojenga daraja. Labda mnyapara! Hata site engineer halali huko. Asubuhi akikuta makosa, ukuta unapigwa chini bila kinyongo. Kiroho safi! Kama ni rahisi rais kupiga pushup mteule wake kabakiwa na nini? Like son like father!
 
Shida ni kwa anaewateua, badala ya kuwateua ili wamshauri yeye ndio hugeuka kuwa mshauri wao. Jiulize hv kwenye korosho aliomba ushauri kwa nani km mtu alikataa ushauri wa waziri mkuu mchana kweupeee!!!
 
Hiyo namba mbili penye sana,hata zile kesi za wanaume kushitaki kwa wakwe wamenyimwa unyumba kwishney!siku hz wife akizingua una act umenuna tu ila moyoni uo saafi maana unapata fursa za kwenda kugegeda michepuko na machangu hadi akikaa sawa wewe umeshampita kwa magoli mengi tu!
 
Reactions: Drs
I wish ungeongea hayo huko Bweranyange (Karagwe) kubeza waziri kubeba gunia ndo ungejua wanyambo wakoje. Huyo ni mtoto wao amefanya kile amekuwa akifanya, huo uwaziri ni majaaliwa tuu.
 
Tatizo kocha, sio Tim. Mchezaji anacheza kulingana na kocha anavyotaka acheze, wangekuwa wanacheza vibaya kocha wao angewatoa. "Wakulaumiwa ni kocha" si mchezaji. Kocha akiwa mbovu na Tim inakuwa mbovu. Mfano Liverpool wanakocha bora, na wanacheza vizuri. Tazama chealse ,kocha wao mbovu na Tim mbovu
 
Mwingine kaamuru kuvunjwa kwa kanisa la EAGT huko Mufindi kwa madai kuwa ni kanisa lisilojasajiliwa. kweli hajawahi kuisikia EAGT? Zaburi 109 inamfaa!
 

Hiyo kazi sio ngumu kama unavyotaka tuamini, iwapo ingekuwa ngumu hivyo tusingeona wizi wa kura ili wakae madarakani. Labda ugumu wa hiyo kazi ni kutenda haki.
 
Hiyo kazi sio ngumu kama unavyotaka tuamini, iwapo ingekuwa ngumu hivyo tusingeona wizi wa kura ili wakae madarakani. Labda ugumu wa hiyo kazi ni kutenda haki.
Kila siku mnaibiwa nyinyi tu kura, hamuoni kuwa tatizo lipo kwenu?.

Hamuoni kama ni kisingizio cha walioshindwa upande wenu kuwa na hoja ya nyinyi kuwasiliza ili waendelee kubakia na uhalali wa kuwa viongozi wenu?.
 
Kila siku mnaibiwa nyinyi tu kura, hamuoni kuwa tatizo lipo kwenu?.

Hamuoni kama ni kisingizio cha walioshindwa upande wenu kuwa na hoja ya nyinyi kuwasiliza ili waendelee kubakia na uhalali wa kuwa viongozi wenu?.

Pole, kwa taarifa yako huo wizi sihadithiwi na kiongozi yoyote bali nimejionea kwa macho yangu na ukatili juu. Sasa hivi mpaka wakurugenzi nao wamegeuzwa kushiriki hizo hujuma kwa kufunga ofisi wakati wapinzani wanarejeshewa fomu. Haya sio siri bali yako wazi peupe.
 

Wanawake wa Dar hawatetewi kwa hiyo mbinu ya Makonda, labda wanawake wa huko vijijini ndio wanatetewa kwa style hiyo. Wanawake wa Dar wanambinu kibao za kupata hela hasa za wanaume bila kuhitaji hiyo mikakati ya siasa za kichovu. Isitoshe wanawake wengi wa hapa Dar hawajali mwanaume bali kazi ndio mume wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…