Hawa ndio wanawake wa shoka

Lazima atakuwa Mrombo huyu, wanawake wa kirombo ni wanyamakazi jipatie mmoja mshana jr., achana na wazaramo utaishia kupata Tezi Dume kama muzeee mukulu Baba Rizimoko.
 
Hahahahaaa hahahahaaa hahahahaaa Gwangambo mi sumo..!!!
 
Last edited by a moderator:
Lazima atakuwa Mrombo huyu, wanawake wa kirombo ni [wanyamakazi] jipatie mmoja mshana jr., achana na wazaramo utaishia kupata Tezi Dume kama muzeee mukulu Baba Rizimoko.

Red unamaanisha PUNDA??

Kama ni ndio, basi wanawake wa rombo ni mapunda!!
 
Mh. Tee Bag, hata ng'ombe, mbwa, farasi na Homo sapiens wanaweza kuwa wanyamakazi, Mapunda ni Wangoni wa Songea ndugu zake Bambo.
 
Usikute ni Msukuma kabeba pamba humo
 
Lazima atakuwa Mrombo huyu, wanawake wa kirombo ni wanyamakazi jipatie mmoja mshana jr., achana na wazaramo utaishia kupata Tezi Dume kama muzeee mukulu Baba Rizimoko.

Sio rombo kuna vitu vinatoka sehemu inaitwa mmbae a.k.a mtsurhu hao ukiwapata mdau nyumbani kwako over umeweka robot wanapiga kazi balaa.
 
Halafu bila huruma unaenda mnyonya au kumdhulumu kwa pesa alioitafuta kwa jasho lake
 
Enzi zangu sijaja mjini

Kwani hujui nilikuja mujini kisa niliolewa?Ndio chanzo cha kuja mujini ati!!!!

huyo atakuwa mimi

Sio rombo kuna vitu vinatoka sehemu inaitwa mmbae a.k.a mtsurhu hao ukiwapata mdau nyumbani kwako over umeweka robot wanapiga kazi balaa.
wanyama kazi....
 
Halafu bila huruma unaenda mnyonya au kumdhulumu kwa pesa alioitafuta kwa jasho lake

Sasa hapo unamaanisha CCM na matumizi yetu mabaya ya kodi.......jamani msituonee wivu, haya mambo ndio maana na mimi nimeshindwa kupost picha FB nikiwa kwenye starehe zangu ili wanakijiji wenzangu wanione kama Ndugai alivyoonwa na wana Kongwa........ACHENI CCM TUFANYE YETU.
 
Chama chawala...!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…