Hawa ndio Wanawake -Toleo la 01

No 30 umeua
 

Huyo mwanamke Hana adabu. Sijui ulimuokotea wapi.
Hilo tusi Kwa Wanawake wanaojielewa halipo katika kamusi yao
 
Aisee hilo tusi ningeua mtu
 
Nimeona yule hakimu mwanamke anaendesha kesi ya zumarid kagoma kujitoa baada ya kuombwa kufanya hivyo. Hapa naona ana nia ya kumkomoa mwanamke mwenzake aliyefanikiwa kimaisha kupitia huduma ya kanisa.
 
Wanawake hawaeweki, ukijiona unawajua sana wanawake jua kwamba sikuzako zinakaribia
🤣🤣🤣🤣🤣kuna mwanamke ananipendaga mme wake akimzingua wakishapatana ananipotezea kama hanijui yani
 
Ndo maana mahusiano ni vigumu Sana kudumu maana hivi vigezo vya kumridhisha mwanamke unaweza ukawa navyo kwa mda then hisia zake zikihama imekula kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…