Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,429
Halafu wewe umpe...........??Namtafuta Hamisa amrudishie Diamond kale ka RAV 4 alikompa...
Halafu wewe umpe...........??Namtafuta Hamisa amrudishie Diamond kale ka RAV 4 alikompa...
Ewaaaa... we si umekataa???Halafu wewe umpe...........??
Kidyudyu chenyewe kishaweka makunyanzi mie chann[emoji57] mwanaume machine bhn magari tutapanda ya ummaEwaaaa... we si umekataa???
Vipi kwan hamjamalizaaga tu?Kama hayupo, ntakuwa sina jinsi. Ntalazimika kukuoa mwenyewe...
Hatujamaliza nini babuVipi kwan hamjamalizaaga tu?
Na huyo mzeeHatujamaliza nini babu
Tumalizane nini sasa yule babu yangu . au kuna kazi ulimpa anipe?Na huyo mzee
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] babuu kwanza mzm wewe??,sikuhizi haupatikaniMwambie analakujibu kama hamjamalizana
Cc @ asprin
Nipo mamy .... Namalizia kula orupuli halafu nirudi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] babuu kwanza mzm wewe??,sikuhizi haupatikani
[emoji144] orupuli ndiyo nini babu???Nipo mamy .... Namalizia kula orupuli halafu nirudi
Orupuli Muulize mmsai wako Yule atakuelezea. Nipo namtumbo[emoji144] orupuli ndiyo nini babu???
Bado Sweden
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti mmasai wakoo, mie mbn sina mmasai yeyote. Nantumbo ndiyo wapi!Orupuli Muulize mmsai wako Yule atakuelezea. Nipo namtumbo
Kuna mmoja ulishawahi kunitambulisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti mmasai wakoo, mie mbn sina mmasai yeyote. Nantumbo ndiyo wapi!
Hapana babuuuKuna mmoja ulishawahi kunitambulisha
Katoto kabishi sana... kataenda kututia aibu ukweni wallahVipi kwan hamjamalizaaga tu?