Hawa ndio wanawake bwana

Hawa ndio wanawake bwana

yamekukutaaa eti "demu sura mbaya" we jamaa wacha kua a maneno makali ivo aisee
 
Anakwambia ana mtu ili kupima msimamo wako juuu yake ..so kama unampenda kwelii utaendelea kumshawishi awe wako.
 
Nimekutana na moja mzuri sana ameolewa
Ila nimeanza kumpa somo la kupata mtoto wa kiume
Ni mzuri sana lkn inabidi nijikite katika kumpa mafunzo
 
Habari zenu wanajamii forum Kuna hii kitu ya wadada wengi kupenda kusema wapo kwenye mahusiano naona kama kamfumo fulani kwao yaani kila demu ukigusa anasema yupo kwenye mahusiano.

katika pitapita zangu sijawahi kumsikia anayesema yuko single hata demu awe mbaya vipi useme ujaribu kupiga sound atasema na mtu wake,hivi lengo lenu la kusema mna wachumba wakati hamna linakuwa nini,na kauchunguzi kadogo nilikofanya nimegundua wanawake wengi hawana wapenzi wengi ni waongo.

Ila hawataki kujulikana vilevile acheni tabia ya kujiona wadogo kila kitu mnajifanya watoto unakuta mwanamke kwa kunuangalia anaonekana mkubwa lakini utasikia shikamoo,basi nasi tunaitikia,ukimuuliza wengi utasiki 20 mpaka 22

mtazamo tu jamani hainaga hasira
Hata demu awe mbaya? Kuna mwanamke mbaya? Labda wewe ndo mbaya ndo maana wanakukataa wanakwambia wana wachumba hata kama wapo single!!
 
Ndio nyie mnaosema wanawake wanapenda kudanganywa.
Umeambiwa ukweli mtu yupo kwenye relationship nayo huamini. Au mtu atembee na mpenzi wake ndio utaamini
 
uongo huoo nigawie yangu kwanza kabla sijakupa u ili ukija kufia kwenye utamuu nijue namgao wangu kbsaa
Tena kwa kukuonesha msisitizo, mgao unalewa na Harrier New model...

Sipendi mtoto mzuri upigwe na vumbi za vi IST, Passo na Vitz
 
Tena kwa kukuonesha msisitizo, mgao unalewa na Harrier New model...

Sipendi mtoto mzuri upigwe na vumbi za vi IST, Passo na Vitz
Nyie wazee wa sikuhizi mbwembwe Kwishaa pesa Hamna nguvu nazo hamna mnaishia tu kutudanganyaaa

Au unakale kaugonjwa maana siyo kwa mbwembwe hizooo nimeghairi chitaki tenaaa
 
Nyie wazee wa sikuhizi mbwembwe Kwishaa pesa Hamna nguvu nazo hamna mnaishia tu kutudanganyaaa

Au unakale kaugonjwa maana siyo kwa mbwembwe hizooo nimeghairi chitaki tenaaa
Duh... unaikimbia bahati mchana kweupeeee....

Ngoja nimtafute Hamisa...
 
Mwanamke asili yake ni kudeka na kudekezwa...

Akiwa hataki kungea na wewe hukaa kimya tu, ukiona anakuambia mpaka shikamoo, ni wewe wakujiongeza na kuacha kulalamika...


Alafu wao kusema wanawatu wao, ni kukujaribu msimamo wako... Wanawake ni viumbe wenye majaribu sana...


Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom