Hawa ndio wanawake bwana

Hawa ndio wanawake bwana

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,258
Habari zenu wanajamii forum Kuna hii kitu ya wadada wengi kupenda kusema wapo kwenye mahusiano naona kama kamfumo fulani kwao yaani kila demu ukigusa anasema yupo kwenye mahusiano.

katika pitapita zangu sijawahi kumsikia anayesema yuko single hata demu awe mbaya vipi useme ujaribu kupiga sound atasema na mtu wake,hivi lengo lenu la kusema mna wachumba wakati hamna linakuwa nini,na kauchunguzi kadogo nilikofanya nimegundua wanawake wengi hawana wapenzi wengi ni waongo.

Ila hawataki kujulikana vilevile acheni tabia ya kujiona wadogo kila kitu mnajifanya watoto unakuta mwanamke kwa kunuangalia anaonekana mkubwa lakini utasikia shikamoo,basi nasi tunaitikia,ukimuuliza wengi utasiki 20 mpaka 22

mtazamo tu jamani hainaga hasira
 
Shikamoo ni heshima kwa mwana wa kiume kutoka kwa mtoto wa kike so isikupe shida. Ila la kujitangazia mahusiano watajibu wenyewe.
 
Akisema yuko single anaoneka yupo sokoni.
 
Hakuna mwanamke mbaya!!! Ndo maana wanajibu hivyo kwasababu wanajua yupo mwanamme atafia kidondani kama nzi!!! Lazima atapendwa tu. Hawa viumbe walishatumaliza tangu Dunia hii ilipoumbwa!!! I like them ladies!!!!
 
We labda umekutana na wanawake wa kisomalia sio sisi wabongo
 
Wewe una mtu mnayefanya naye ugongaji wa vikojoleo?
babu unanichekeshaga ngoja nikuitie mhenga mwenzio akujibu... Km alikula mahari yngu ujue yupo km bado hujue hayupoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom