Hawa ndio wanaume sasa

Hawa ndio wanaume sasa

Mwaka 2012 Janet Jackson msanii wa muziki, mwigizaji, na dada wa mwisho katika familia maarufu ya "The Jacksons" alifunga ndoa na Wissam Al Mana, mfanyabiashara tajiri kutoka Qatar, aliyezaliwa Doha na kulelewa London. Al Mana ni Mkurugenzi wa kampuni ya kifamilia ya Al Mana Group, inayojishughulisha na biashara mbalimbali ikiwemo maduka ya kifahari kama Harvey Nichols na Armani.

Al Mana anatajwa kuwa na utajiri dola bilioni mbili (takribani trilioni 2.5 za Kitanzania). Hata hivyo pamoja na ukwasi huo maisha yake kwa sehemu kubwa yamekua ya faragha yasiyo na kelele za vyombo vya habari.

Wawili hao walikutana mwaka 2010 katika hafla ya kifahari huko Dubai, na mapenzi yao yakachanua kwa utulivu. Mwaka 2012, wakafunga ndoa. Lakini kabla ya ndoa hiyo kufungwa, Al Mana akaweka makubaliano maalumu ya kisheria (prenuptial agreement) yenye masharti mawili.

Sharti la kwanza, akasema angemlipa Janet dola milioni 100 (kama bilioni 250 za kitanzania) ikiwa angeweza kuvumilia kwenye ndoa hiyo na ikadumu angalau miaka mitano au zaidi. Sharti la pili; angemlipa Janet dola milioni 100 nyingine kama angebeba mimba yake na kujifungua mtoto wa kiume.

Mwaka 2016, Janet akiwa na umri wa miaka 50, akapata ujauzito wake wa kwanza (hakuwahi kuzaa kabla ya hapo). Akajifungua mtoto wa kiume, aliyepewa jina la Eissa Al Mana. Kufikia hapo Janet akawa ametimiza sharti moja kwenye mkataba - kupata mtoto wa kiume. Mwaka 2017 Janet na Al Mana wakafanya anniversary ya miaka mitano ya ndoa, na hivyo akawa ametimiza sharti la pili.

Wakiwa kwenye furaha ya anniversary Janet akafungua shauri la kudai talaka, akidai kuwa tofauti za kitamaduni kati yake na mumewe zilifanya ashindwe kuifurahia ndoa. Mahakama ikavunja ndoa hiyo na Janet akaondoka na kitita cha dola milioni 200 (zaidi ya shilingi bilioni 500 za Kitanzania).!

SIo wengine wapi nyumba yakupanga wanasema atachana na mwanaume wangu yupi sasa gani ,.

Namwingine ana kagari ist mume rv4 na kanyumba kamkopo.
Naye anabweka bweka anamume .

MNakula dagaa kwakwenda usa eti unamume. Unazaa kama umejitolea hakuna zawadi.yeyote hata simu ya gharama nawewe unasema umeolewa hahahahaa unauksi tu hapo nyumbani mme hakuna .
Sema umejitolea kuwa na familia

View attachment 3378015View attachment 3378016View attachment 3378017
Hilo tusi limemfikia mpaka baba yako. kama huyo ndo kidume kisa katoa dola milion 200, basi huna baba na mama wewe, una mama wawili. maana nnauhakika baba ako hana hata 1% ya hiyo pesa kwa akauti ake bank
 
kwa kifupi huyo mtoa mada sidhani kama kwenye mwili wake ana tundu linalofunga vizuri. Yote yapo wazi huyo.
 
Wewe ni Malaya mada yako imakaa kimaslahi zaidi kuliko upendo. Hii inamaanisha mwanamke alienda kuchuma pesa. Mwanaume ni Yule anayeishi na mwanamke miaka yote atakayoishi uhai duniani
 
Nafuu mie malaya wewe ninani??
 
Jamaa ana akili sana kama asingeweka hizo ahadi na kufanya ndoa kuwa mkataba huyo mama angekata nusu ya utajiri WA familia
 
Mwaka 2012 Janet Jackson msanii wa muziki, mwigizaji, na dada wa mwisho katika familia maarufu ya "The Jacksons" alifunga ndoa na Wissam Al Mana, mfanyabiashara tajiri kutoka Qatar, aliyezaliwa Doha na kulelewa London. Al Mana ni Mkurugenzi wa kampuni ya kifamilia ya Al Mana Group, inayojishughulisha na biashara mbalimbali ikiwemo maduka ya kifahari kama Harvey Nichols na Armani.

Al Mana anatajwa kuwa na utajiri dola bilioni mbili (takribani trilioni 2.5 za Kitanzania). Hata hivyo pamoja na ukwasi huo maisha yake kwa sehemu kubwa yamekua ya faragha yasiyo na kelele za vyombo vya habari.

Wawili hao walikutana mwaka 2010 katika hafla ya kifahari huko Dubai, na mapenzi yao yakachanua kwa utulivu. Mwaka 2012, wakafunga ndoa. Lakini kabla ya ndoa hiyo kufungwa, Al Mana akaweka makubaliano maalumu ya kisheria (prenuptial agreement) yenye masharti mawili.

Sharti la kwanza, akasema angemlipa Janet dola milioni 100 (kama bilioni 250 za kitanzania) ikiwa angeweza kuvumilia kwenye ndoa hiyo na ikadumu angalau miaka mitano au zaidi. Sharti la pili; angemlipa Janet dola milioni 100 nyingine kama angebeba mimba yake na kujifungua mtoto wa kiume.

Mwaka 2016, Janet akiwa na umri wa miaka 50, akapata ujauzito wake wa kwanza (hakuwahi kuzaa kabla ya hapo). Akajifungua mtoto wa kiume, aliyepewa jina la Eissa Al Mana. Kufikia hapo Janet akawa ametimiza sharti moja kwenye mkataba - kupata mtoto wa kiume. Mwaka 2017 Janet na Al Mana wakafanya anniversary ya miaka mitano ya ndoa, na hivyo akawa ametimiza sharti la pili.

Wakiwa kwenye furaha ya anniversary Janet akafungua shauri la kudai talaka, akidai kuwa tofauti za kitamaduni kati yake na mumewe zilifanya ashindwe kuifurahia ndoa. Mahakama ikavunja ndoa hiyo na Janet akaondoka na kitita cha dola milioni 200 (zaidi ya shilingi bilioni 500 za Kitanzania).!

SIo wengine wapi nyumba yakupanga wanasema atachana na mwanaume wangu yupi sasa gani ,.

Namwingine ana kagari ist mume rv4 na kanyumba kamkopo.
Naye anabweka bweka anamume .

MNakula dagaa kwakwenda usa eti unamume. Unazaa kama umejitolea hakuna zawadi.yeyote hata simu ya gharama nawewe unasema umeolewa hahahahaa unauksi tu hapo nyumbani mme hakuna .
Sema umejitolea kuwa na familia

View attachment 3378015View attachment 3378016View attachment 3378017
Mwanaume sio mtaji we kenge. Janet hakumuomba pesa huyo , Janet mwenyewe alikuwa anajiweza, mwarabu alipenda ustar wake akatoa promises. Nyie mnauza nyuchi tu.
 
Back
Top Bottom