hawa ndio wamarekani

hawa ndio wamarekani

etc

Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
5
Reaction score
0
hivi kweli serikali hii ya ccm inawajua wamarekani, mpaka kuweka nchi rehani kwa net. waliojengwa na marekani hawa hapa...
 
ghaaaaaaaa!...babu hujui kuattach?alaa!
 
Unalo limekugandaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!
 
Hahahah hahaha hahhaa,
Nyie watu nyie mmenichekesha sana 'hakika hawa ndio wamarekani lol!'
 
Walikuwepo hapo muda si mrefu,nadhani wameenda kwa mama ntilie maana walikuwa wanalalamika njaa
 
Back
Top Bottom