The Priest
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,029
- 256
Navunja line yangu ya voda sasa hv,thats y airtel walitushauri sana tuhamie airtel,kumbe wanalipa kodi,nahamia airtel rasmi.
wewe kama mbunge umefanya/utafanya nini kurekebisha hilo?
Mkuu hyo 15 bora nimeitoa toka kwwnye Hotuba ya Waziri Mkuu hivyo sio rahisi kupata 50 bora kwa sasa ila tutajitahidi kutafuta information Kama ulivyoshauri.Regia ebu ongeza kwenye list ifike japo kampuni 50 tuone labda zile kampuni za kagoda na EPA zinweza kuwa zinaturudishia chenji kwa kodiAlafu tyarisheni n mtuletee na mchangamunuo wa kuonyesha kila walipa kodi kodi wakubwa kwa kila mkoa ikiwezekana na wilaya tuone.
Mnabweka tu kuilaumu serikali kwa kutokusanya kodi!Jamani, REJAO, RITZ na ECOLI, hebu anagalieni avatar zao na michango yao hapa jamvini, hao ndiyo wataalamu waliotumwa kuja kutetea CCM hapa jamvini.Kumbe ndiyo maana tuna serikali lege lege.
Jamani, REJAO,RITZ na ECOLI, hebu anagalieni avatar zao na michango yao hapa jamvini, hao ndiyo wataalamu waliotumwa kuja kutetea CCM hapa jamvini.Kumbe ndiyo maana tuna serikali lege lege.
Mkuu Tanzania in a majengo mengi na mazuri kwa sasa..Lakini nadhani ujenzi wa shule za kata na wenyewe umechangia sana kwa Makampuni ya simenti kupata faida mzuri..Kinachishangaza tanzania ni kampuni za Cement kuwa top alafu tunashangaa kwa nini watu hawana nyumba bora. Au hizo kodi ni za cement inayouzwa nje ya nchi? Next time Tutasikia walipa kodi wakubwa ni BP, oil com,Ni sawa na usikie TANESCO ni mlipa kodi mkubwa basi ujue policy makers wetu wa kodi na wizara ya fedha hawajtulia kichwani.In my view Kampuni za cement hazitakiwi kuwepo kwenye list hii bora nafasi yao ingechukuliwa na kampuni za madini
siwezi kushangaa kwa nini nchi yetu ni maskini hadi sasa hivi kwa kuwa na watu kama hawa madarakani, na siwezi kushangaa kuwa wewe upo ikulu na ni mfanya kazi wa ikulu.na sishangai kwa nini serikali imepunguza kodi kweney makampuni ya madini.. sitaki kuumiza kichwa changu kushangaaMnabweka tu kuilaumu serikali kwa kutokusanya kodi!
Hamjui kuwa kukusanya kodi ni jukumu la kila mwananchi na si serikali!!
Hatuitetei CCM, tunajarinu kuwaelimisha mambumbumbu kama wewe!
haya nayoWhere's Vodacom, Geita Gold, Bulyanhulu, Artumas, Songas,North Mara, Buzwagi????????
Wakuu,Salaam!
Kwa wale mliofuatilia Hotuba ya Waziri Mkuu wakati wa kuahirisha Bunge Jana alitoa pongezi na kuzitaja Makampuni au Mashirika yanayoongoza kwa kulipa Kodi hapa nchini.
Alisema kwa kipindi Cha mwaka 2005 na 2011 Makampuni hayo yamekuwa yakifanya vizuri katika ulipaji Kodi.
Aliyataja Makampuni hayo Kama ifuatavyo;
12. Resolute(T) LTD. Shilingi Bilioni 32.1
Haya Wakuu na tujadili na kutoa maoni yetu...
Duh sijaona Vodacom, Tigo, Serengeti lazima hizi kampuni kuna mikono ya mafisadi badala ya kwenda serikalini kodi hizo wao ndo wanakula. Hawa Voda si wanajigamba ndo wenye wateja wengi TZ iweje wamepitwa na airtel katika ulipaji kodi??
Wewe unahitaji elimu ya ziada kuhusu kodi!siwezi kushangaa kwa nini nchi yetu ni maskini hadi sasa hivi kwa kuwa na watu kama hawa madarakani, na siwezi kushangaa kuwa wewe upo ikulu na ni mfanya kazi wa ikulu.na sishangai kwa nini serikali imepunguza kodi kweney makampuni ya madini.. sitaki kuumiza kichwa changu kushangaa
madin yana wenyewe. Haujui hilo?Ni kuleta hasira tu kwa wa Tanzania. NMB ya walala hoi ndo inaongoza hata haya ma migodi? Sasa si tubaki na benki tu na kuwafukuza wawekezaji kwenye madini?
Halafu, jana PM anasema mikoa mitano ya mwisho kwa uchumi wa watu wake kuwa ni pamoja na Shinyanga, Kigoma, nk, huku akitaja fursa zilizopo kwenye mikoa hiyo kuwa ni pamoja na kilimo cha pamba, ufugaji, nk (hakutaja madini), ALINIUDHI MIMI? Yaani unawezaje kuitaja Shinyanga bila kueleza fursa za madini? Au madini haya kweli si ya kwetu, ooo my God.
USANII MTUPU HAPA
Hiyo vodacom si ndio rostam mwenyewe au?
Toka lini akalipa kodi Tanzania?kodi zote analipa uarabuni