TYRION LANNISTER
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 224
- 207
sikiliza kwa makini. Kisha utaelewa tunakosea wapi....hawa watu wanawezesha Private sector ambayo sisi tunakandamiza
Amesema anataka kukuza uchumiii...Kuna kitu kinakosewa kwenye uongozi wa jpm inabidi wachumi na wasomi wakae chini kunusuru biashara zinazokufa kila siku hapa nchini so mh jpm plz kaa na wanauchumi wa ndani na wa nchi ili ulitazame hili jambo.
sitaki niamini v- wonders, ni vurugu wondersHawa ni watu wanaojua wanataka nini na kupanga malengo, ndipo wanaweka strategies za utekelezaji kufikia malengo yaliyopangwa.
If you know what you want, and how to get there, then you strategies what to do to get there. If you don't know what you want, then you can do anything that comes in your mind.
Watu tunahubiri Tanzania ya viwanda with no any blueprint ya nini tunataka and how, hatuna mission, vision wala strategic plan ambayo ni SMART, hatujafanya SWOT Analysis, PEST Analysis wala stakeholders analysis ya Tanzania ya Viwanda, kazi kuimba na kuhubiri tuu Tanzania ya Viwanda as if viwanda hivyo vitashushwa kama Mana kutoka mbinguni! .
Mungu saidia.
Paskali