New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,440
- 2,673
wengine hatuvumi tuWakuu kuna watu humu jf wamepanda vyeo ama daraja kuanzia Leo Na kiukweli tumekuwa hatuwatendei haki hata kidogo kwa kuwaita wakuu!
Hawa watu wamekula chumvi nyingi tu
Uthibitisho ni kuwa kuna watu humu
Wamejiunga jf miaka ya 2008 mfano
Mshana Jr
Asprin
Mtimkavu
Heaven saint
Miss natafuta
Troll
Mondray
Stunted
Saint ivuga
Dady
Smart911
Generous
Esky lait
Shunie
Nyan ngabu
Dah! Orodha ni ndefu sana
Tusaidiane kuorodhesha member
Wengine ambao ni wahenga watu
Humu JF ili tuwape heshima yao
Tuwe tunaanza mfano asante muhenga.....badala ya mkuu....
Post sent using JamiiForums mobile app
Stuff wa jf[emoji23][emoji23][emoji23]Mmmh je mimi niliyejiunga 2006 wakati wa jambo forums utaniita nani?
Acha uwongo, kwenye list yako kuna waliojiunga hivi majuzi tu na hawekwepo hiyo 2008 humu labda kama walikuwa wakitumia ID tofauti, then wakazibadili au zikaunganishwa baada ya kuwa na ID nyingi!Wakuu kuna watu humu jf wamepanda vyeo ama daraja kuanzia Leo Na kiukweli tumekuwa hatuwatendei haki hata kidogo kwa kuwaita wakuu!
Hawa watu wamekula chumvi nyingi tu
Uthibitisho ni kuwa kuna watu humu
Wamejiunga jf miaka ya 2008 mfano
Mshana Jr
Asprin
Mtimkavu
Heaven saint
Miss natafuta
Troll
Mondray
Stunted
Saint ivuga
Dady
Smart911
Generous
Esky lait
Shunie
Nyan ngabu
Dah! Orodha ni ndefu sana
Tusaidiane kuorodhesha member
Wengine ambao ni wahenga watu
Humu JF ili tuwape heshima yao
Tuwe tunaanza mfano asante muhenga.....badala ya mkuu....
Post sent using JamiiForums mobile app
Unafaa kabisa kuitwa mhenga wa jf, we ni 2007Mmmh je mimi niliyejiunga 2006 wakati wa jambo forums utaniita nani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hivi hawa wahenga wa jf hawanaga kazi kama mshana c mtu mzma yule
Mkuu wewe pia muhenga nilikusahauAcha uwongo, kwenye list yako kuna waliojiunga hivi majuzi tu na hawekwepo hiyo 2008 humu labda kama walikuwa wakitumia ID tofauti, then wakazibadili au zikaunganishwa baada ya kuwa na ID nyingi!
Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app
Ohoooo!!!naona umesahaulika kwenye list ya wahenga hapo juu.Duhh.....[emoji45] [emoji45]
Jina lako limenikumbusha mbaliMmmh je mimi niliyejiunga 2006 wakati wa jambo forums utaniita nani?
Itabidi uitwe mkuu wa wahengaMmmh je mimi niliyejiunga 2006 wakati wa jambo forums utaniita nani?