Hawa ndio wabunge ambao hawatarudi tena 2025, Waanze kubeba virago

COVID 19 wote wajiandae kuuza papuch
 
Ukonga
Jimbo hili ni.kama ilivyokuwa Temeke enzi za Lyatonga Mrema.hali ni mbaya sana kwenye miundo mbinu hasa barabara zote za kichangani,stakishari,ukonga kitunda,nyantira,mwanagati kibeberu,magore,kivule ni kubaya sana,sana.hakuna mipangilo ya miji nk.Mh Slaa ajaribu kutuonyesha nia ya kujenga mind.mbinu hii
 
Ni hivii issue ya Pima ipo kwenye mfumo wa sheria....
Sasa yeye kila siku anairudia hii issue wakati iko mahakamani...
Anairudia makusudi ili ionekane Arusha watu ni wezi na hatua hazichukuliwi...
Hii ni issue tofauti na ile ya Pima,wacha kupotosha mambo!

Pia wacha kuweka chuki binafsi kwenye masuala yanayohusu raslimali za taifa la watanzania wote.

Wewe inaonekana kuwa una maslahi na eneo husika kabisaa!
 
Kwa hiyo chadema ikibahatika inaweza kupata wabunge watano tu kwenye uchaguzi ujao? Au utaongezea idadi baadae?
 
Hii ni issue tofauti na ile ya Pima,wacha kupotosha mambo!

Pia wacha kuweka chuki binafsi kwenye masuala yanayohusu raslimali za taifa la watanzania wote.

Wewe inaonekana kuwa una maslahi na eneo husika kabisaa!
Mkuu kama unata ukweli issue ya bodaboda michango ilianzia yeye akiwa RC na michango ikapotea...
Sasa kuonyesha yeye hajui chochote eti anapiga kelele kumtafuta mchawi
 
Jerry silaa Hana chake mjinga yaani ajitafutie chimbo lake mapema
Hili n zigo barabara zimeharibika kwelikweli Ila lenyewe linaongea ujinga kuwa iongezwe 100 kwenye mafuta ya vyombo vya Moto kupatikana fedha ya kutengeneza barabara.

Barabara ya Mombasa, Moshi bar mkolemba, kanyigo had msongola n mbovu kwelikweli.


Barabara ya banana, Kitunda hadi msongola n mbovu kwelikweli -mashimo tupu.

Barabara ya Mombasa, Moshi bar kwa diwani had mbondole n mbovu kwelikweli -mashimo tupu!.

Mchanga unakusanywa unatandazwa barabarani mvua ikinyesha inasafirisha mchanga na kuacha madimbwi na mashimo kila sehemu.

Hivi, fedha ya Jimbo inafanya kazi gani au katka utawala huu wa kifisadi na wizi wa Mali za umma ruzuku ya Jimbo haitolewi?. Kama fedha ya Jimbo haitolewi tuambie tuache kukulaumu kwa sababu hauwezi kutoa fedha yako mfukoni kutengeneza barabara kunakokusanywa kodi na dola kila uchwao. Yawezekana unashindwa kutamka kuwa fedha ya Jimbo haitolewi na badala yake unatumia tafsida kuwa iongezwe shilingi 100/= kwenye mafuta ya vyombo vya Moto kugharamia matengenezo ya barabara Jambo ambalo haliwezekani.



Jerry endelea kulia bungeni ila 2025 lakini usilete pua yako Jimbo la Ukonga.
 
2025 wabunge wa CDM wakuchaguliwa watakuwa zaidi ya 50 Bungeni.
Mbeya Mjini ni rahisi sana CDM kushinda ila kutokana na kuwa na Mbunge wa hapo ndio Spika itakuwa vigumu atapitishwa hata kwa Mkono wa chuma.
 
Sasa mfuko wa jimbo 200M na unaweza kuta ni chini ya hapo utafanyia nini cha maana.
 
Wabunge wa Mchongo wa Mwendazake 99% hawatorudi....Hivi kweli Mwana FA atarudi unadhani?
 

Brother nimeipenda DP yako, jinsi unavyoongea na simu ya mezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…