ally kazembe
Member
- Jun 10, 2018
- 40
- 26
TTCL NI JIPU 4G YA VODA IKO VIZURI SANAAA LETA MCHANGO WAPO WEWE ULIPO SPEED INAKWENDAJEE View attachment 20180729_100357_edited.mp4
Voda 4g wapo vizuriii ngoja nitume gif au cheki video hapo ujioneeeHakuna kitu me ni mwendo wa misingi huru tu
We achaa tuuu ni hovyooooTTCL 4G yao ni ya hovyo hakuna
Kwangu mimi ni speed kubwa but inafika mpka 30 mbps so ni speed kubwa kwanguu maaana ttcl wakijitahidi 600kbpsMbona speed ya kawaida tu hio kwa 4g? Either server ipo slow ama upo eneo ambalo speed ni ndogo. 5 to 13mbps ni ya kawaida sana. Humu watu wanasifia 4g ikiwa angalau 40mbps kupanda juu.
I wonder 13Mbps ni kawaida sana... Mimi nakaa sehemu network si nzuri but nishawahi record 40Mbps hapa nimekaa napata 20Mbps nikiwa milimani kwangu natumia TiGOMbona speed ya kawaida tu hio kwa 4g? Either server ipo slow ama upo eneo ambalo speed ni ndogo. 5 to 13mbps ni ya kawaida sana. Humu watu wanasifia 4g ikiwa angalau 40mbps kupanda juu.
Unaweza ukaweka ushahidi TTCL 4g ni 600kbps?Kwangu mimi ni speed kubwa but inafika mpka 30 mbps so ni speed kubwa kwanguu maaana ttcl wakijitahidi 600kbps
Hapa una haki ya kutembea kifua mbele
SIKUSHAURI, Ttcl ni majangaHapa natumia 4G ya Tigo, sio haba. Wanajitahidi, imani yangu mimi naiwekaga kwa Vodacom Tanzania ila nina mpango wa kuhamia TTCL, Je nao wapo vizuri?
Vipi ukaaji wa bando kwa voda 4G maana tigo 4G bando inakata sana 1Gb inaisha ndani ya dk10 kama una watching video online mpaka nimeamua ku change kwenye settings nitaweka 3G onlyVoda 4g wapo vizuriii ngoja nitume gif au cheki video hapo ujioneee
utatupa hio line siku hio hioHapa natumia 4G ya Tigo, sio haba. Wanajitahidi, imani yangu mimi naiwekaga kwa Vodacom Tanzania ila nina mpango wa kuhamia TTCL, Je nao wapo vizuri?
Unaweza download store app yao au ukatembelea website yao speedtest.netChief-Mkwawa
Unapimaje speed niijaribu yangu!?.. Me najua TTCL na TIGO hawawezi niangusha