Paschal,
Propaganda hata Kama inakubalika katika siasa, inahitaji kufanyika kisayansi. Propaganda inapokuwa upotoshwaji wa wazi na udanganyifu inaacha kuwa propaganda na kupoteza malengo na focus yake. Maamuzi ya Chadema yanafanyika kwa mujibu wa Katiba yake. Hakuna mgongano uliowahi kutokea Kati ya viongozi, isipokuwa tu Kama unataka kulazimisha iwe hivyo. Labda tatizo ni uelewa tu. Maswala yote uliyotaja takriban yote nimeyatolea ufafanuzi Mimi mwenyewe. Inawezekana unataka tu kushikilia position yako, ambayo ni uhuru wako, lakini ukweli hauwezi kubadilika kwa kuwa wewe unataka iwe hivyo. Kumbuka Truth is indivisble. Ukielewa maana ya msingi huo wa kifalsafa, hoja zako zote zinakufa knife cha mende.
QUOTE=Paschal Joseph Haule;6815387]Kwa wanasayansi ya utawala wataungana na mimi kuwa taasis makin utaipima kwa VISION, MISSION and ORGANISATION GOAL yake. CDM Kwa ss n taasis ya kisiasa ambayo imekosa sifa tajwa hapo juu. Ni chama ambacho hakina mtu wa mwisho katka maamuz. Kila kiongozi ana maamuz yake mfano.rejea tofaut ya kaul katk Ushrk ktk ziara ya Obam kati ya mwenyekit na katbu mkuu. REJEA AZMA YAO WALIOITANGAZA YA KUJTOA KWENYE MCHAKATO WA KATBA NA BAADAE KUFIFIA KIMYAKIMYA. REJEA MKINZANO KAT YA DR. Slaa na Tundu Lissu kuhusu sakata ya Lwakatare. Haya yote yanaashria Cdm kukosa sifa tajwa hapo juu za kiutawala na uongozi na hao ndio maadui wao[/QUOTE]